Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaikimba: Sifikirii kustaafu

Aliyekuwa mshambuliaji wa Azam, Gaudence Mwaikimba. Na Martha Mboma
BAADA ya uongozi wa Azam FC kuwaacha wachezaji wake watatu kutokana na kumaliza mikataba yao, aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Gaudence Mwaikimba, amefunguka kuwa licha ya kuachwa ataendelea kucheza soka mahali pengine na hafikirii kustaafu kwa sasa. Azam imeachana na wachezaji hao ambao wamemaliza mikataba akiwemo beki mahiri David Mwantika, Amri Kiemba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Mwaikimba avuta mkoko wa milioni 18

Martha Mboma na Musa Mateja
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, amefanikiwa kupiga hatua baada ya hivi karibuni kununua gari aina ya Toyota Brevis lenye thamani ya shilingi milioni 18. Championi lilimshuhudia Mwaikimba aliyewahi kukipiga Yanga miaka ya nyuma akiwa na ndinga yake hiyo alipokuwa akihudhuria kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi, Dar, juzi. Mwaikimba anayesadikika kuwa mrefu...

 

9 years ago

Habarileo

Mwaikimba amtabiria neema Kibadeni

MSHAMBULIAJI wa JKT Ruvu, Gaudence Mwaikimba, amesema mabadiliko ya benchi la ufundi yaliyofanywa na uongozi wa timu hiyo yatabadilisha mwenendo mbaya walioanza nao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

 

11 years ago

GPL

MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akiwa na mke wake Rukia (Mary) Ally Seif. Na Khadija Mngwai MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, ameamua kuachana na ukapera baada ya hivi karibuni kufunga pingu za maisha na mzazi mwenziye, anayejulikana kwa jina la mama Genevieve. Gaudence Mwaikimba akiwa na mke wake Rukia (Mary) Ally Seif baada ya kufunga… ...

 

10 years ago

GPL

NORA: SIFIKIRII MAPENZI TENA!

Brighton Masalu Mwigizaji wa filamu za Kibongo, zao la Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ amesema kwa sasa hafikirii tena kuingia kwenye uhusiano wa mapenzi na kwamba anaamua kuelekeza nguvu na akili zote kwenye kazi. Nora ameliambia Amani kwamba, ameamua kuwa hivyo baada ya kuambulia maumivu mara nyingi katika mapenzi, jambo ambalo limechangia kumdidimiza kisanii.“Sitaki tena kusikia habari za mapenzi, kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Hall amtaja Mwaikimba mechi JKT Ruvu

stewartkoreacloseupNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema mchezo wao ujao dhidi ya JKT Ruvu unaotarajia kufanyika Alhamisi hii kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam utakuwa mgumu na kudai watakamiwa vilivyo na mshambuliaji Gaudence Mwaikimba.

Hall amesema hiyo inatokana na mshambuliaji huyo kuwahi kukipiga Azam FC kwa misimu mitatu kabla kutemwa msimu huu na kujiunga na JKT Ruvu.

“Kuna wachezaji wa Azam kama Mwaikimba atakayepambana vikali kutuonyesha kuwa bado...

 

11 years ago

GPL

Azam: Thamani ya Mwaikimba kubwa kuliko ya Okwi

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting, juzi Alhamisi, uongozi wa Azam umefunguka kuwa Mwaikimba ana thamani kubwa zaidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi.…

 

10 years ago

GPL

TUNDA MAN: SIFIKIRII KUTOKA KIMAPENZI NA WEMA

Na Ibrahim Mussa
MKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.…

 

10 years ago

GPL

HAMISA MABETO: SIFIKIRII NDOA, NAKULA UJANA

Stori: Mayasa Mariwata
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana. Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’. Akipiga stori na paparazi wetu, Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana. “Suala la kuolewa hapa kwangu hata...

 

9 years ago

Mtanzania

Hemedi: Sifikirii kurekodi video nje ya nchi

hemedi_suleiman_06NA THERESIA GASPER

MSANII wa muziki wa kizazi kipya na filamu za kibongo nchini, Hemedi Suleiman ‘PHD’, amesema hajawahi kufikiria kufanya video za nyimbo zake nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya wasanii wenye kipato cha juu.

Hemedi, ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘Memories’, alisema anachofikiria ni kushirikiana na wasanii kutoka nje na si kufanya video nje ya nchi wakati nchini kuna mazingira ya kutosha kunogesha video zake.

“Kitu ambacho kipo kichwani mwangu kwa sasa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani