Mwaikimba avuta mkoko wa milioni 18
![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DT19pRWaHR9RI9M4n88ic0ReREfikXFsiOTAL*zea6GYCreb9MCFDaH5yr*oEVq22tpcxnxvgaJKP4Hc6dxcR4x/MWAIKIMBA.jpg?width=650)
Martha Mboma na Musa Mateja MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, amefanikiwa kupiga hatua baada ya hivi karibuni kununua gari aina ya Toyota Brevis lenye thamani ya shilingi milioni 18. Championi lilimshuhudia Mwaikimba aliyewahi kukipiga Yanga miaka ya nyuma akiwa na ndinga yake hiyo alipokuwa akihudhuria kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi, Dar, juzi. Mwaikimba anayesadikika kuwa mrefu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwNuOIEyPd0ub4TMnQrNJ5ddsa*-OR1JSN8yTsaW2iQvEm*nWmMz-E2hkKOtTWeR4DDBUgK2tTHvyHAo9BYKAgRA/wastara.jpg)
WASTARA AVUTA NDINGA MPYA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuDc5QX4F1e0QecHqrFsqBkHrebEXi*h32zdrIRtyAYvE9PbZBezqCrsIPNAp8xMDT9PNHB2fUX-ki4A6IbzRbiy/dtyytfyty.gif)
Mwaikimba: Sifikirii kustaafu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WRH9ovbTZmBjiN6lZQ2DO3-STCmCaNVfb1dWveORsO4CwzpaG86JwYV4XMTbx59yvXgPQmR9aubfZEWtn2wpp9okOb-a7q7Z/IMG20140531WA0036.jpg?width=650)
MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA
9 years ago
Habarileo23 Oct
Mwaikimba amtabiria neema Kibadeni
MSHAMBULIAJI wa JKT Ruvu, Gaudence Mwaikimba, amesema mabadiliko ya benchi la ufundi yaliyofanywa na uongozi wa timu hiyo yatabadilisha mwenendo mbaya walioanza nao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzrK7c*O0R86nmmaxEm8Usau0ez0LlMUIgjVB8VtfF4tXpWfxg5jdvSlamgFjx8KP6Q8PniERIZZJv7ATyzt3AWq/15.jpg?width=650)
BARNABA, SHILOLE NGOMA DROO AVUTA NDINGA YA MIL.25
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04at3osdMww-cEpW6MhrJ3b7ZEXst86SFSaXgFuK0ie8t*2livsU0VTGtiEM3BTUJX5abEWLiMErKOmooaQZX0Pup/okwi.jpg?width=600)
Azam: Thamani ya Mwaikimba kubwa kuliko ya Okwi
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Hall amtaja Mwaikimba mechi JKT Ruvu
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema mchezo wao ujao dhidi ya JKT Ruvu unaotarajia kufanyika Alhamisi hii kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam utakuwa mgumu na kudai watakamiwa vilivyo na mshambuliaji Gaudence Mwaikimba.
Hall amesema hiyo inatokana na mshambuliaji huyo kuwahi kukipiga Azam FC kwa misimu mitatu kabla kutemwa msimu huu na kujiunga na JKT Ruvu.
“Kuna wachezaji wa Azam kama Mwaikimba atakayepambana vikali kutuonyesha kuwa bado...
11 years ago
GPL![](http://lh5.ggpht.com/-qXBmMnSQdJk/U5l842x4J5I/AAAAAAAAKx8/ffQAZfW1V7E/s640/IMG_0520.jpg)
9 years ago
Bongo501 Jan
Picha: Alikiba avuta umati wa zaidi ya watu elfu 10 Machakos, Kenya
![MAIN SHOW 31ST-2901 (800x533)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/MAIN-SHOW-31ST-2901-800x533-300x194.jpg)
Alikiba ana mashabiki lukuki nchini Kenya.
Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.
“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.
“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”
Jionee picha zaidi.