WASTARA AVUTA NDINGA MPYA
![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwNuOIEyPd0ub4TMnQrNJ5ddsa*-OR1JSN8yTsaW2iQvEm*nWmMz-E2hkKOtTWeR4DDBUgK2tTHvyHAo9BYKAgRA/wastara.jpg)
Stori: Gladness Mallya CHEREKO! Ikiwa umepita mwaka mmoja tangu mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki’ afariki dunia, msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma ameongeza ndinga mpya na kuiacha ile ya zamani kwa muda. Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma. Akizungumza na paparazi wetu, Wastara alisema gari hilo aina ya Toyota Cami alinunua kwa shilingi milioni kumi na tano na anamshukuru Mungu kwani fedha hizo zimetokana na muvi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzrK7c*O0R86nmmaxEm8Usau0ez0LlMUIgjVB8VtfF4tXpWfxg5jdvSlamgFjx8KP6Q8PniERIZZJv7ATyzt3AWq/15.jpg?width=650)
BARNABA, SHILOLE NGOMA DROO AVUTA NDINGA YA MIL.25
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtoru51-3*wTKvOI2nMYKOVO5H16wt3uo5SNkCtApx68EEDmzfoR1r77YrlM5Rc8J04-VTl390qLAvmIoojRRtog/JIDE.jpg)
NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Wastara:Marehemu Sajuki Alisema Atatakufa Mwaka Mpya
"Hii siku ya tal 31 mpka tal 2 January ni siku mbaya sana kwangu unifanya nilie kuliko siku zote uumwa sababu ya mawazo niliambiwa neno ambalo sikuwa tayari kulipokea, marehemu sajuki alisema.nitakufa huku watu bado wanasheherekea mwaka mpya nami nitakufa mwaka mpya alianza kuhesabu saa yake kufa tal 31 na kweli ilipofika tal 1 aliniomba nimtoroshe hosptal nimpelke beach akashike maji ya bahari kwa ya mwisho, ni rahisi sana wew kusoma haya maneno lakini ni maneno mazito na yenye kuchoma moyo...
10 years ago
Bongo502 Sep
Picha: Wastara kuwa mpenzi wa JB ndani ya filamu mpya ‘Mzee wa Swaga’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DT19pRWaHR9RI9M4n88ic0ReREfikXFsiOTAL*zea6GYCreb9MCFDaH5yr*oEVq22tpcxnxvgaJKP4Hc6dxcR4x/MWAIKIMBA.jpg?width=650)
Mwaikimba avuta mkoko wa milioni 18
9 years ago
Bongo501 Jan
Picha: Alikiba avuta umati wa zaidi ya watu elfu 10 Machakos, Kenya
![MAIN SHOW 31ST-2901 (800x533)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/MAIN-SHOW-31ST-2901-800x533-300x194.jpg)
Alikiba ana mashabiki lukuki nchini Kenya.
Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.
“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.
“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”
Jionee picha zaidi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7kDhSvujoayy6T3IMPYr7fyk9aRZpwZUMin3edA0bQwl73jwyOP7Q4CvbGTd8Z7L5stuUHJROoMtSoz4Z59Q8i-/DUDE.jpg)
NDINGA LA DUDE NGOMA NZITO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MA0EzfCJUmN3H8OpfDLus2ts9DIp8XiQ5OI1GQGdwGgYxOWpjseB-9*51sYLEqpaTxlxWnemm5G7dYpMTDlAPp5/2.jpg)
MSHINDI WA NDINGA YA EFM AKABIDHIWA