Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHINDI WA NDINGA YA EFM AKABIDHIWA

Afisa uhusiano wa EFM Lydia Moyo (kushoto) akimkabidhi mshindi wa shika ndinga funguo za gari. Mshindi wa shika ndinga Gabriel (kulia) akikabidhiwa hati yake ya umiliki wa gari aliyojishindia, pembeni ni Lydia moyo afisa uhusiano wa EFM. Mshindi wa shindano la shika ndinga akiondoka na gari yake pembeni ni mke wake na mtoto wake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM ‎Deborah Charles akabidhiwa kitita chake

 ‎ ‎Deborah Charles kutoka Kinondoni Moscow akipokea kitita chake  Kutoka kwa mkuu wa vipindi Dickson Ponela wa EFM leo baada ya kushinda shindano hilo linaloendelea kila kona ya jiji la Dar es salaamMshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM ‎Deborah Charles  akafurahia  kitita chake

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM WAPATIKANA

 Hatimaye Washindi wa shindano la Shika Ndinga la 93.7 EFM wamepatikana baada ya mchuano mkali uliofanyika jana Aprili 25, 2015 katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam.  Fainali hiyo iliwahusisha washiriki 10 kutoka katika wilaya zote tatu za mkoa wa Dar-es-salaam watano kati yao wakiwa wanawake watano wakiwa ni wanaume. Shindano hilo lilihudhuriwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadik akiwa kama mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

EFM yaja na Promosheni ya Shika Ndinga

Shika ndinga kwa wilaya ya Kinondoni imefanyika leo Aprili 4,2015 katika uwanja wa Garden Kinondoni jijini Dar es salam,ambapo wasikilizaji wa Radio EFM waliopata nafasi ya kushiriki baada ya kujibu maswali mbalimbali kupitia vipindi vya redio  walishindana kushika ndinga ili kuweza kujishindia ndinga ya biashara.
Washiriki wa shindano kwa Wanawake walikua 21 na wanaume 20 ambapo kati ya hao ni Wanawake Watano  na Wanaume watano waliofanikiwa kuendelea mbele katika raundi nyingine ambapo...

 

10 years ago

GPL

TEMEKE KUINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM

Pichani ni uwanja wa Mwembe Yanga Temeke wakati wa  Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM. Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM kwa wilaya ya temeke limefanyika leo tarehe 18 mwezi wa nne mwaka 2015 ambapo washiriki kumi kutoka wilaya hiyo wamefuzu kuingia fainali ya shika ndinga kwa mkoa wa Dar-es-salaam kati yao watano wakiwa wanawake na wengine watano ni wanaume.Shindano hili kwa wilaya hii lilikuwa la aina yake...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAAZI 10 TEMEKE WAINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM

                      Pichani ni uwanja wa Mwembe Yanga Temeke wakati wa  Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM kwa wilaya hiyo  lililofanyika Jumamosi  tarehe 18 mwezi wa nne mwaka 2015 ambapo washiriki kumi kutoka wilaya hiyo wamefuzu kuingia fainali ya shika ndinga kwa mkoa wa Dar-es-salaam kati yao watano wakiwa wanawake na wengine watano ni wanaume.Shindano hili kwa wilaya hii lilikuwa la aina yake ukilinganisha na wilaya zingine kwa maaana washiriki walishika ndinga huku mvua kubwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa kwanza wa Simtank akabidhiwa Rav 4 mpya

DSC_0024

 Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya SILAFRICA Tanzania bwana Alpesh Patel akikabidhi funguo za gari kwa mshindi wa shindano la Uza na Ushinde bidhaa za SIMTANK bwana Hiren Chandarani ambaye ni Mkurugenzi wa RAVI STEEL, anayeshuhudia ni Ravi Chandarana Mkurugenzi Mtendaji wa RAVI STEEL.

Kampuni ya Silafrica Tanzania Ltd, inayoongoza kwa kutengeneza vifaa vya plastiki leo imekabidhi gari aina ya RAV 4 kwa wakala wake wa bidhaa za SIMTANK ambaye aliibuka  mshindi wa kwanza wa shindano la...

 

11 years ago

Michuzi

MSHINDI WA ‘CHEMSHA BONGO YA BRAZIL’ AKABIDHIWA CHAKE

MSHINDI wa Chemsha Bongo ya Brazil inayoendeshwa na gazeti la Championi, Afande Jamila Omari Mkele, leo amekabidhiwa king'amuzi na dishi kutoka Azam TV pamoja na televisheni ya kisasa (flat screen) kutoka kampuni ya Sony baada ya kushinda shindano hilo.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi,  Ijumaa,  Championi na Ijumaa Wikienda. Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande...

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA SHINDA MAHELA AKABIDHIWA ZAWADI ZAKE MBEYA

Mshindi wa Dinner Set katika Promosheni ya Shinda Mahela na Gazeti la Championi, Justin Francis (kulia), akikabidhiwa zawadi zake na Wakala wa Global, Mohammed Lalika. Justin Francis akikagua zawadi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani