Mshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM ‎Deborah Charles akabidhiwa kitita chake
![](http://2.bp.blogspot.com/-hlEQkYj41QE/VZ2Ic2h6H7I/AAAAAAAHn3s/9VRN-mJpROA/s72-c/unnamedA3.jpg)
Deborah Charles kutoka Kinondoni Moscow akipokea kitita chake Kutoka kwa mkuu wa vipindi Dickson Ponela wa EFM leo baada ya kushinda shindano hilo linaloendelea kila kona ya jiji la Dar es salaam
Mshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM Deborah Charles akafurahia kitita chake
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Feb
Mshindi wa milioni 1/- kupitia promosheni ya JayMillions akabidhiwa kitita chake
Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeledeshwa na Vodacom Tanzania amemkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1/- mshindi wa promosheni hiyo Claudia Mapunda ambae ni mkazi wa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla fupi iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary […]
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JdqtfpX2VlA/VSzk_5JAB4I/AAAAAAAHREI/hdoWJjVEOt0/s72-c/001.HUNDI.jpg)
Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake
![](http://3.bp.blogspot.com/-JdqtfpX2VlA/VSzk_5JAB4I/AAAAAAAHREI/hdoWJjVEOt0/s1600/001.HUNDI.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1ZLvbz5civI0yocWVPmeKpYEZQvHlobS441Pd-oVv5qt1Wj6w9pQMqI-OeHtGz3AlpMo0VUXYS*Ny6d7DPtoPSJ/001.HUNDI.jpg?width=650)
MSHINDI MWINGINE WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-O0HWB_6x61E/VOxjBYsL7SI/AAAAAAAHFjo/HKGAUR4ss68/s72-c/001.JP.jpg)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-O0HWB_6x61E/VOxjBYsL7SI/AAAAAAAHFjo/HKGAUR4ss68/s1600/001.JP.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5m8RiKM8yAg/VOxjBXLq-LI/AAAAAAAHFjg/pESlXX6-ohc/s1600/002.JP.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-ii29kqa2Kq22ZyVBamGJVPOFEA4n5K4Cj5nYdcCHiiHAT1C4WTsqrvyNEAq0KNX*bFA8i94qttMM3czthsbBvcD/001.JP.jpg)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/-James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza ,alizojishindia kupitia promosheni ya Jay Millions inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2YSNfPN1VIjVy9qgAA3BGWwdnusUxkSUPs0SBfD1L6w4w-qP4390wKbS4nZmO8JvOYUz6dpA4KYJxhulbx2n8cn/001.jpg?width=650)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
.Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GutZeHmFpMtqvMlVuFdpDOxIknp0qWlJcxg8EzYuCgG*aD-vNq6ILsh2x9F8gde46cq6h9R5-zna2TyQ-7qwRJ8Hv78zXj3v/001.jpg?width=650)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5Qdqjb4aySLfZ5yP86tZWmAOR4-3Fshr8P3C6MssiHZLIT5iEWfLf0NA7tSP16QnJ*DhWtiltwn9jg8C7UKg3Cj9/001MILION20.jpg?width=650)
FUNDI VIYOYOZI AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akimkabidhi Mshindi wa promosheni ya Timka na Bodaboda,Bw.Wiston Urio hundi yenye thamani ya shilingi Milioni ishirini(20,000,000) baada ya kuibuka mshindi wa mwezi Disemba. Ili kushiriki mteja promosheni hiyo mteja wa Vodacom hutuma neno Promo kwenda 15544. Mshindi wa Disemba wa shilingi Milioni ishirini(20,000,000)katika Promosheni ya Timka na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g94tpcG6i_A/VNI2C5UvGPI/AAAAAAAHBrw/ZhLwhpAGcqY/s72-c/001.UWEZO.jpg)
ALIYEJISHINDIA MILIONI 100 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-g94tpcG6i_A/VNI2C5UvGPI/AAAAAAAHBrw/ZhLwhpAGcqY/s1600/001.UWEZO.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania