Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshindi wa kwanza wa Simtank akabidhiwa Rav 4 mpya

DSC_0024

 Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya SILAFRICA Tanzania bwana Alpesh Patel akikabidhi funguo za gari kwa mshindi wa shindano la Uza na Ushinde bidhaa za SIMTANK bwana Hiren Chandarani ambaye ni Mkurugenzi wa RAVI STEEL, anayeshuhudia ni Ravi Chandarana Mkurugenzi Mtendaji wa RAVI STEEL.

Kampuni ya Silafrica Tanzania Ltd, inayoongoza kwa kutengeneza vifaa vya plastiki leo imekabidhi gari aina ya RAV 4 kwa wakala wake wa bidhaa za SIMTANK ambaye aliibuka  mshindi wa kwanza wa shindano la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSHINDI WA NDINGA YA EFM AKABIDHIWA

Afisa uhusiano wa EFM Lydia Moyo (kushoto) akimkabidhi mshindi wa shika ndinga funguo za gari. Mshindi wa shika ndinga Gabriel (kulia) akikabidhiwa hati yake ya umiliki wa gari aliyojishindia, pembeni ni Lydia moyo afisa uhusiano wa EFM. Mshindi wa shindano la shika ndinga akiondoka na gari yake pembeni ni mke wake na mtoto wake.…

 

11 years ago

Michuzi

MSHINDI WA ‘CHEMSHA BONGO YA BRAZIL’ AKABIDHIWA CHAKE

MSHINDI wa Chemsha Bongo ya Brazil inayoendeshwa na gazeti la Championi, Afande Jamila Omari Mkele, leo amekabidhiwa king'amuzi na dishi kutoka Azam TV pamoja na televisheni ya kisasa (flat screen) kutoka kampuni ya Sony baada ya kushinda shindano hilo.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi,  Ijumaa,  Championi na Ijumaa Wikienda. Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande...

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA SHINDA MAHELA AKABIDHIWA ZAWADI ZAKE MBEYA

Mshindi wa Dinner Set katika Promosheni ya Shinda Mahela na Gazeti la Championi, Justin Francis (kulia), akikabidhiwa zawadi zake na Wakala wa Global, Mohammed Lalika. Justin Francis akikagua zawadi…

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 10 ZA CHAMPIONI SHINDA MAHELA AKABIDHIWA MPUNGA WAKE

Mkurugenzi wa Global Publishers & General Enterprises Ltd, Marsha Bukumbi akimkabidhi mfano wa  hundi ya shilingi milioni 10 mshindi wa shindano la Championi Mahela, Kizito George Chuma (kushoto). Kizito George Chuma akiwa ameshika mfano wa hundi yake ya milioni 10.…

 

10 years ago

Bongo5

Mshindi wa milioni 1/- kupitia promosheni ya JayMillions akabidhiwa kitita chake

Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeledeshwa na Vodacom Tanzania amemkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1/- mshindi wa promosheni hiyo Claudia Mapunda ambae ni mkazi wa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla fupi iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary […]

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake

 Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM ‎Deborah Charles akabidhiwa kitita chake

 ‎ ‎Deborah Charles kutoka Kinondoni Moscow akipokea kitita chake  Kutoka kwa mkuu wa vipindi Dickson Ponela wa EFM leo baada ya kushinda shindano hilo linaloendelea kila kona ya jiji la Dar es salaamMshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM ‎Deborah Charles  akafurahia  kitita chake

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA ‘CHEMSHA BONGO YA BRAZIL’ AKABIDHIWA CHAKE

Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande Jamila.
Afande Jamila baada ya kukabidhiwa zawadi zake.
Akiwa na tabasamu wakati akihojiwa na…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani