MSHINDI WA ‘CHEMSHA BONGO YA BRAZIL’ AKABIDHIWA CHAKE
Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande Jamila. Afande Jamila baada ya kukabidhiwa zawadi zake. Akiwa na tabasamu wakati akihojiwa na…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi25 Jun
MSHINDI WA ‘CHEMSHA BONGO YA BRAZIL’ AKABIDHIWA CHAKE
MSHINDI wa Chemsha Bongo ya Brazil inayoendeshwa na gazeti la Championi, Afande Jamila Omari Mkele, leo amekabidhiwa king'amuzi na dishi kutoka Azam TV pamoja na televisheni ya kisasa (flat screen) kutoka kampuni ya Sony baada ya kushinda shindano hilo.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Championi na Ijumaa Wikienda.
Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande...
Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Championi na Ijumaa Wikienda.
9 years ago
GPL07 Sep
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRkw7u44Vk5g8bT7tSZf*frawjANI7kqml*iPJsgzfqaNxt6Ssdq1oNnwQYOmGVpP-X1PJRFuSdC0LbZ-j56u-6C/10.gif?width=650)
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Chemsha bongo ya Brazil 2014
Je wewe ni shabiki sugu wa kombe la dunia?, unajiona kama mjuzi wa mechi ambazo zimeshachezwa? Haya lete majibu
11 years ago
GPLWASHINDI WA CHEMSHA BONGO YA BRAZIL WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Mhariri wa Gazeti la Championi Jumatano, Phillip Nkini (kulia) akimkabidhi Said Muhammed Muba zawadi yake ya dekoda na dishi. Ofisa Mauzo wa Azam TV, Shah Seffu Mrisho (kulia) akimkabidhi Allen John Muhuma zawadi ya TV na dekoda.…
10 years ago
Bongo523 Feb
Mshindi wa milioni 1/- kupitia promosheni ya JayMillions akabidhiwa kitita chake
Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeledeshwa na Vodacom Tanzania amemkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1/- mshindi wa promosheni hiyo Claudia Mapunda ambae ni mkazi wa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla fupi iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary […]
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JdqtfpX2VlA/VSzk_5JAB4I/AAAAAAAHREI/hdoWJjVEOt0/s72-c/001.HUNDI.jpg)
Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake
![](http://3.bp.blogspot.com/-JdqtfpX2VlA/VSzk_5JAB4I/AAAAAAAHREI/hdoWJjVEOt0/s1600/001.HUNDI.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hlEQkYj41QE/VZ2Ic2h6H7I/AAAAAAAHn3s/9VRN-mJpROA/s72-c/unnamedA3.jpg)
Mshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM ‎Deborah Charles akabidhiwa kitita chake
![](http://2.bp.blogspot.com/-hlEQkYj41QE/VZ2Ic2h6H7I/AAAAAAAHn3s/9VRN-mJpROA/s640/unnamedA3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YDgXGSXHZ5s/VZ2IkAcbbFI/AAAAAAAHn30/za6nuoiRVwo/s640/unnamedA2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1ZLvbz5civI0yocWVPmeKpYEZQvHlobS441Pd-oVv5qt1Wj6w9pQMqI-OeHtGz3AlpMo0VUXYS*Ny6d7DPtoPSJ/001.HUNDI.jpg?width=650)
MSHINDI MWINGINE WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania