MSHINDI WA ‘CHEMSHA BONGO YA BRAZIL’ AKABIDHIWA CHAKE
MSHINDI wa Chemsha Bongo ya Brazil inayoendeshwa na gazeti la Championi, Afande Jamila Omari Mkele, leo amekabidhiwa king'amuzi na dishi kutoka Azam TV pamoja na televisheni ya kisasa (flat screen) kutoka kampuni ya Sony baada ya kushinda shindano hilo.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Championi na Ijumaa Wikienda.
Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMSHINDI WA ‘CHEMSHA BONGO YA BRAZIL’ AKABIDHIWA CHAKE
9 years ago
GPL07 Sep
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRkw7u44Vk5g8bT7tSZf*frawjANI7kqml*iPJsgzfqaNxt6Ssdq1oNnwQYOmGVpP-X1PJRFuSdC0LbZ-j56u-6C/10.gif?width=650)
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Chemsha bongo ya Brazil 2014
11 years ago
GPLWASHINDI WA CHEMSHA BONGO YA BRAZIL WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
10 years ago
Bongo523 Feb
Mshindi wa milioni 1/- kupitia promosheni ya JayMillions akabidhiwa kitita chake
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JdqtfpX2VlA/VSzk_5JAB4I/AAAAAAAHREI/hdoWJjVEOt0/s72-c/001.HUNDI.jpg)
Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake
![](http://3.bp.blogspot.com/-JdqtfpX2VlA/VSzk_5JAB4I/AAAAAAAHREI/hdoWJjVEOt0/s1600/001.HUNDI.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hlEQkYj41QE/VZ2Ic2h6H7I/AAAAAAAHn3s/9VRN-mJpROA/s72-c/unnamedA3.jpg)
Mshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM ‎Deborah Charles akabidhiwa kitita chake
![](http://2.bp.blogspot.com/-hlEQkYj41QE/VZ2Ic2h6H7I/AAAAAAAHn3s/9VRN-mJpROA/s640/unnamedA3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YDgXGSXHZ5s/VZ2IkAcbbFI/AAAAAAAHn30/za6nuoiRVwo/s640/unnamedA2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1ZLvbz5civI0yocWVPmeKpYEZQvHlobS441Pd-oVv5qt1Wj6w9pQMqI-OeHtGz3AlpMo0VUXYS*Ny6d7DPtoPSJ/001.HUNDI.jpg?width=650)
MSHINDI MWINGINE WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE