Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHINDI WA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM WAPATIKANA

 Hatimaye Washindi wa shindano la Shika Ndinga la 93.7 EFM wamepatikana baada ya mchuano mkali uliofanyika jana Aprili 25, 2015 katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam.  Fainali hiyo iliwahusisha washiriki 10 kutoka katika wilaya zote tatu za mkoa wa Dar-es-salaam watano kati yao wakiwa wanawake watano wakiwa ni wanaume. Shindano hilo lilihudhuriwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadik akiwa kama mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

EFM yaja na Promosheni ya Shika Ndinga

Shika ndinga kwa wilaya ya Kinondoni imefanyika leo Aprili 4,2015 katika uwanja wa Garden Kinondoni jijini Dar es salam,ambapo wasikilizaji wa Radio EFM waliopata nafasi ya kushiriki baada ya kujibu maswali mbalimbali kupitia vipindi vya redio  walishindana kushika ndinga ili kuweza kujishindia ndinga ya biashara.
Washiriki wa shindano kwa Wanawake walikua 21 na wanaume 20 ambapo kati ya hao ni Wanawake Watano  na Wanaume watano waliofanikiwa kuendelea mbele katika raundi nyingine ambapo...

 

10 years ago

GPL

TEMEKE KUINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM

Pichani ni uwanja wa Mwembe Yanga Temeke wakati wa  Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM. Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM kwa wilaya ya temeke limefanyika leo tarehe 18 mwezi wa nne mwaka 2015 ambapo washiriki kumi kutoka wilaya hiyo wamefuzu kuingia fainali ya shika ndinga kwa mkoa wa Dar-es-salaam kati yao watano wakiwa wanawake na wengine watano ni wanaume.Shindano hili kwa wilaya hii lilikuwa la aina yake...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAAZI 10 TEMEKE WAINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM

                      Pichani ni uwanja wa Mwembe Yanga Temeke wakati wa  Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM kwa wilaya hiyo  lililofanyika Jumamosi  tarehe 18 mwezi wa nne mwaka 2015 ambapo washiriki kumi kutoka wilaya hiyo wamefuzu kuingia fainali ya shika ndinga kwa mkoa wa Dar-es-salaam kati yao watano wakiwa wanawake na wengine watano ni wanaume.Shindano hili kwa wilaya hii lilikuwa la aina yake ukilinganisha na wilaya zingine kwa maaana washiriki walishika ndinga huku mvua kubwa...

 

10 years ago

GPL

SHIKA NDINGA WILAYA YA KINONDONI YAFANYIKA

Ndinga zinazoshndaniwa kwenye shindano la Shika Ndinga. SHIKA ndinga ya EFM Radio kwa Wilaya ya Kinondoni imefanyika jana Aprili 5 mwaka huu katika Uwanja wa Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo wasikilizaji wa EFM waliopata nafasi ya kushiriki baada ya kujibu maswali mbalimbali kupitia vipindi vya redio walishindana kushika ndinga ya biashara. Washiriki wa shindano kwa wanawake walikuwa 21 na wanaume 20 ambapo kati ya...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA NDINGA YA EFM AKABIDHIWA

Afisa uhusiano wa EFM Lydia Moyo (kushoto) akimkabidhi mshindi wa shika ndinga funguo za gari. Mshindi wa shika ndinga Gabriel (kulia) akikabidhiwa hati yake ya umiliki wa gari aliyojishindia, pembeni ni Lydia moyo afisa uhusiano wa EFM. Mshindi wa shindano la shika ndinga akiondoka na gari yake pembeni ni mke wake na mtoto wake.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Washindi wa Tuzo za CNN wapatikana

PIX 1A

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wageni waalikwa (hawako pichani) wakati wa hafla ya kutoa tuzo za waandishi bora Afrika 2014 zilizofanyika siku ya tarehe 18 Oktoba mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, tuzo ambazo zinatolewa na CNN Multi choice.

Na Benedict Liwenga, Maelezo.

TUZO za waandishi bora wa Afrika 2014 zinazotolewa na CNN Multi Choice zimetolewa rasmi siku ya tarehe 18 Oktoba mwaka huu ambapo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washindi wa maonesho ya cake wapatikana Dar

Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.

Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya ‘Azam World of Cakes Exhibition’ wakipita kuangalia keki.

Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.

Majaji wa Maonesho ya ‘Azam World of Cakes Exhibition’ watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.

IMG_0638

 

Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya ‘Azam World of Cakes Exhibition’ wakipita kuangalia keki.

Marion Elias Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, ambaye pia Mratibu wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) katika maonesho hayo.

Marion Elias Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, ambaye pia Mratibu wa Maonesho ya ‘Azam World of Cakes Exhibition’...

 

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Maonesho ya Keki Wapatikana Dar

Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.Marion Elias Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, ambaye pia Mratibu wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) katika maonesho hayo.Marion Elias Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, ambaye pia Mratibu wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' akizungumza...

 

9 years ago

Global Publishers

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani