Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAAZI 10 TEMEKE WAINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM

                      Pichani ni uwanja wa Mwembe Yanga Temeke wakati wa  Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM kwa wilaya hiyo  lililofanyika Jumamosi  tarehe 18 mwezi wa nne mwaka 2015 ambapo washiriki kumi kutoka wilaya hiyo wamefuzu kuingia fainali ya shika ndinga kwa mkoa wa Dar-es-salaam kati yao watano wakiwa wanawake na wengine watano ni wanaume.Shindano hili kwa wilaya hii lilikuwa la aina yake ukilinganisha na wilaya zingine kwa maaana washiriki walishika ndinga huku mvua kubwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TEMEKE KUINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM

Pichani ni uwanja wa Mwembe Yanga Temeke wakati wa  Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM. Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM kwa wilaya ya temeke limefanyika leo tarehe 18 mwezi wa nne mwaka 2015 ambapo washiriki kumi kutoka wilaya hiyo wamefuzu kuingia fainali ya shika ndinga kwa mkoa wa Dar-es-salaam kati yao watano wakiwa wanawake na wengine watano ni wanaume.Shindano hili kwa wilaya hii lilikuwa la aina yake...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM WAPATIKANA

 Hatimaye Washindi wa shindano la Shika Ndinga la 93.7 EFM wamepatikana baada ya mchuano mkali uliofanyika jana Aprili 25, 2015 katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam.  Fainali hiyo iliwahusisha washiriki 10 kutoka katika wilaya zote tatu za mkoa wa Dar-es-salaam watano kati yao wakiwa wanawake watano wakiwa ni wanaume. Shindano hilo lilihudhuriwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadik akiwa kama mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

EFM yaja na Promosheni ya Shika Ndinga

Shika ndinga kwa wilaya ya Kinondoni imefanyika leo Aprili 4,2015 katika uwanja wa Garden Kinondoni jijini Dar es salam,ambapo wasikilizaji wa Radio EFM waliopata nafasi ya kushiriki baada ya kujibu maswali mbalimbali kupitia vipindi vya redio  walishindana kushika ndinga ili kuweza kujishindia ndinga ya biashara.
Washiriki wa shindano kwa Wanawake walikua 21 na wanaume 20 ambapo kati ya hao ni Wanawake Watano  na Wanaume watano waliofanikiwa kuendelea mbele katika raundi nyingine ambapo...

 

10 years ago

GPL

SHIKA NDINGA WILAYA YA KINONDONI YAFANYIKA

Ndinga zinazoshndaniwa kwenye shindano la Shika Ndinga. SHIKA ndinga ya EFM Radio kwa Wilaya ya Kinondoni imefanyika jana Aprili 5 mwaka huu katika Uwanja wa Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo wasikilizaji wa EFM waliopata nafasi ya kushiriki baada ya kujibu maswali mbalimbali kupitia vipindi vya redio walishindana kushika ndinga ya biashara. Washiriki wa shindano kwa wanawake walikuwa 21 na wanaume 20 ambapo kati ya...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA NDINGA YA EFM AKABIDHIWA

Afisa uhusiano wa EFM Lydia Moyo (kushoto) akimkabidhi mshindi wa shika ndinga funguo za gari. Mshindi wa shika ndinga Gabriel (kulia) akikabidhiwa hati yake ya umiliki wa gari aliyojishindia, pembeni ni Lydia moyo afisa uhusiano wa EFM. Mshindi wa shindano la shika ndinga akiondoka na gari yake pembeni ni mke wake na mtoto wake.…

 

10 years ago

Michuzi

Makundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke

Usili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho wameweza kushinda nafasi ya kuingia katika michuano kutoka wilaya ya Temeke.
Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.


Mratibu wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hungary waingia fainali Euro 2016

Timu ya taifa ya Hungary imefuzu kutinga hatua ya fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016, baada ya kuifunga Norway 2-1.

 

9 years ago

Bongo5

Liverpool waingia nusu fainali ya Capital one

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Timu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital one .

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Liverpool ilipata ushindi kwa kuichapa timu ya Southampton kichapo cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji Sadio Mane.

2F0048BD00000578-3343438-image-m-63_1449091396265

Liverpool wakakomboa bao hilo kupitia mshambuliaji wao Daniel Sturridge katika dakika ya 29 , Sturridge, tena akaongeza bao la pili.

Mshambuliaji Divock Origi...

 

10 years ago

Michuzi

sakasaka ya 93.7 EFM yarindima wilayani Temeke

KATIKA kuhakikisha kuwa 93.7 Efm inaendeleza utamaduni wake wa kushirikiana na wasikilizaji kama familia, inatoa nafasi nyingine tena ya kuwawezesha kiuchumi kupitia shindano lake la sakasaka ambalo limeanza rasmi jana Kigamboni jijini Dar es salaam.

Shindano hili linawawezesha washiriki ambao ni wasikilizaji wote  wa EFM,  kujishindia zawadi ya fedha taslimu kuanzia milioni moja na nusu, laki moja na shilingi elfu hamsini kwa lengo la kusonga mbele na wasikilizaji wake kwa kukuza uchumi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani