sakasaka ya 93.7 EFM yarindima wilayani Temeke
KATIKA kuhakikisha kuwa 93.7 Efm inaendeleza utamaduni wake wa kushirikiana na wasikilizaji kama familia, inatoa nafasi nyingine tena ya kuwawezesha kiuchumi kupitia shindano lake la sakasaka ambalo limeanza rasmi jana Kigamboni jijini Dar es salaam.
Shindano hili linawawezesha washiriki ambao ni wasikilizaji wote wa EFM, kujishindia zawadi ya fedha taslimu kuanzia milioni moja na nusu, laki moja na shilingi elfu hamsini kwa lengo la kusonga mbele na wasikilizaji wake kwa kukuza uchumi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM ‎Deborah Charles akabidhiwa kitita chake
Deborah Charles kutoka Kinondoni Moscow akipokea kitita chake Kutoka kwa mkuu wa vipindi Dickson Ponela wa EFM leo baada ya kushinda shindano hilo linaloendelea kila kona ya jiji la Dar es salaamMshindi wa Sakasaka na 97.3 EFM Deborah Charles akafurahia kitita chake
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndugu Sophia Mjema akilakiwa na Dkt. Martha Kisanga, Meneja wa Kanda ya Pwani wa Shirika la Engender Health mara baada ya kuwasili kwenye eneo la Shule ya Sekondari Kibasila kwa ajili ya kufunga rasmi mafunzo ya siku 5 yaliyohusu mradi wa kuzuia mimba za utotoni katika Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke tarehe 17.4.2015. Waliosimama katikati ni Ndugu Donald Siliva, Afisa-Elimu Sekondari, Wilaya ya Temeke na Dkt. Sarah Maongezi, Mkurugenzi wa Afya kutoka...
11 years ago
GPLTASWIRA ZA UZINDUZI WA REDIO YA EFm MWEMBE-YANGA, TEMEKE
PNC akiimba kibao chake cha habari ya mjini. Mkude Simba akiwaongoza wapenda burudani kwa kunyoosha mikono juu kama ishara ya kumkumbuka marehemu Sharo. Umati wa watu uliojazana…
10 years ago
GPLTEMEKE KUINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM
Pichani ni uwanja wa Mwembe Yanga Temeke wakati wa Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM. Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM kwa wilaya ya temeke limefanyika leo tarehe 18 mwezi wa nne mwaka 2015 ambapo washiriki kumi kutoka wilaya hiyo wamefuzu kuingia fainali ya shika ndinga kwa mkoa wa Dar-es-salaam kati yao watano wakiwa wanawake na wengine watano ni wanaume.Shindano hili kwa wilaya hii lilikuwa la aina yake...
10 years ago
MichuziWAKAAZI 10 TEMEKE WAINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM
Pichani ni uwanja wa Mwembe Yanga Temeke wakati wa Shindano la Shika ndinga ya 93.7 EFM kwa wilaya hiyo lililofanyika Jumamosi tarehe 18 mwezi wa nne mwaka 2015 ambapo washiriki kumi kutoka wilaya hiyo wamefuzu kuingia fainali ya shika ndinga kwa mkoa wa Dar-es-salaam kati yao watano wakiwa wanawake na wengine watano ni wanaume.Shindano hili kwa wilaya hii lilikuwa la aina yake ukilinganisha na wilaya zingine kwa maaana washiriki walishika ndinga huku mvua kubwa...
11 years ago
MichuziWaendesha Pikipiki Wilayani Temeke wakutana
Umoja wa Waendesha Pikipiki wilayani Temeke ( UWAPITE) umekutana na kufanya mkutano wao mkuu leo katika ukumbi wa CCM kata 14 Temeke. Mgeni rasmi alikuwa ni Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa, ambaye aliwataka wanaboda boda hao kutii sheria na taratibu zote kama walivyotakiwa na Mamlaka husika, pia Ndg. Magesa aliwaasa wanabodaboda hao kuimarisha Umoja wao ili waweze kufanikiwa kufikia malengo yao. Ndg. Magesa aliahidi kufikisha katika Mamlaka husika mambo mbalimbali ambayo wanabodaboda hao...
11 years ago
Mwananchi28 Dec
CCM yazoa wanachama wapya wilayani Temeke
>Watu 250 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Tawi la Kigunga B, Kilakala wilayani Temeke jijini Dar es salaam.
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Shule ya msingi kuvunjwa wilayani Temeke kumpisha mwekezaji
Hofu imewagubika wazazi na walimu wa Shule ya Msingi Mji Mpya, iliyopo Temeke baada ya kuwapo kwa taarifa za kubomolewa kwa shule hiyo ili kupisha ujenzi wa majengo ya biashara.
10 years ago
MichuziKiongozi wa Kundi la TMK wanaume kugombea udiwani kata yake ya Kilungule, wilayani Temeke
Kiongozi wa Kundi la TMK wanaume na Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe kinachosimamia bendi ya vijana machachari wa Yamoto, Saidi Fella leo amechukua fomu ya kuomba kugombea udiwani katika kata yake ya Kilungule, wilayani Temeke, jijini Dar es salam.Saidi Fella ameamua kuchukua fomu hiyo na kugombea nafasi hiyo ili aweze kutatua kero za wakazi wa kata ya Kilungule na kuleta maendeleo katika Kata hiyo. "Nimeamua kuchukua nafasi hii ili kutatua kero za kata yangu, hapa kuna shida ya maji...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania