Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya msingi kuvunjwa wilayani Temeke kumpisha mwekezaji

Hofu imewagubika wazazi na walimu wa Shule ya Msingi Mji Mpya, iliyopo Temeke baada ya kuwapo kwa taarifa za kubomolewa kwa shule hiyo ili kupisha ujenzi wa majengo ya biashara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Watakiwa kumpisha mwekezaji

WANANCHI waliovamia eneo la Nyantorotoro Kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita mkoani hapa wametakiwa kuondoka mara moja ili kumpisha mwekezaji mwenye leseni kuendeleza shughuli zake za kuponda kokoto. Agizo hilo...

 

10 years ago

Michuzi

NBC yazipiga jeki shule sita za msingi wilayani Kilombero

  Meneja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Tawi la Morogoro, James Ndimbo (kushoto) akikabidhi sehemu ya msada wa madawati 150 kwa Meneja Fedha wa Kampuni ya Sukari Kilombero, Mark Roe Scott (kulia) yaliyotolewa na NBC kwa ajili ya shule sita za msingi wilayani Kilombero. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Kilombero, Morogoro jana. Wa pili kushoto ni Ofisa Mauzo na Masoko wa NBC Morogoro, Mary Mwansele na mwalimu wa shule ya msingi Lyahira, Sara Mwanukuzi. Meneja wa Benki ya Taifa ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Mkapa atembelea shule ya msingi Manyara Ranchi,Wilayani Monduli

Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa leo(jumatatu) amefanya ziara kumtembelea Shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa la uhifadhi wa wanyamapori la African wildlife foundation wilayani Monduli.
Mzee Mkapa ni Makamu mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao yake mjini Washington Marekani.picha mbalimbali zinamuonesha waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais Mkapa kuzuru shule hiyo. Rais mstaafu wa awamu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa awasha umeme shule ya msingi Ipililo A wilayani Simiyu

Maswa kijijini_25

Mlezi wa Mkoa wa Simiyu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akikabidhi mchango wa shilingi milioni moja kwa Mwalimu Macha mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Ipililo A akipokea kwa niaba ya wananchi ili kuunganishwa na Umeme shuleni hapo.

 

10 years ago

Michuzi

madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani wilayani Simanjiro yakabidhiwa

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka pamoja na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Daniel Ole Materi wakikata utepe kuashiria kuzindua madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani iliyopo Kata ya Terrat ambayo Kamanda Ole Materi, aliyajenga na kutoa msaada kwa shule hiyo.Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wakiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Christopher Ole Sendeka na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,...

 

10 years ago

GPL

MADARASA MAWILI YA SHULE YA MSINGI LOORNG'OSWANI WILAYANI SIMANJIRO YAKABIDHIWA

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka pamoja na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Daniel Ole Materi wakikata utepe kuashiria kuzindua madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani iliyopo Kata ya Terrat ambayo Kamanda Ole Materi, aliyajenga na kutoa msaada kwa shule hiyo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Posta Tanzania, yasaidia shule za msingi wilayani Ileje mkoani Mbeya

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mmbene, (wapili kushoto), akipeana mikono na Meneja msaidizi wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, tawi la Tunduma, Teddy Msanzi, wakati wa hafla ya kukabidhi madawati yaliyotolewa kama msaada na benki hiyo, kusaidia shule mbili za msingi wilayani Ileje, mkoa wa Mbeya, hivi karibuni.

NA K-VIS MEDIA

Benki ya Posta Tanzania (TPB) kupitia tawi lake la Tunduma, imetoa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi Milioni Tatu kwa shule mbili za...

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA APOKEA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA SHULE YA MSINGI KAKAUNI,WILAYANI MLELE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mabati 350 yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 15 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya GEPF, Bw. Daidi Msangi (wapili kulia) kwa jili ya kuezezeka madarasa mawili na jengo la utawala la shule ya Msingi ya Kakauni wilayani Mlele May 26,2014. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi Dr. Rajabu Rutengwe. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe, Dr. Chrisant Mzindakaya (kushoto) na mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani