Liverpool waingia nusu fainali ya Capital one
Timu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital one .
Liverpool ilipata ushindi kwa kuichapa timu ya Southampton kichapo cha mabao 6-1.
Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji Sadio Mane.
Liverpool wakakomboa bao hilo kupitia mshambuliaji wao Daniel Sturridge katika dakika ya 29 , Sturridge, tena akaongeza bao la pili.
Mshambuliaji Divock Origi...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili03 Dec
Liverpool nusu fainali Capital one
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Liverpool yatinga nusu fainali Capital one
LIVEPOOL, ENGLAND
KIKOSI cha kocha Jurgen Klopp, Liverpool, imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Capital One.
Klabu hiyo imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa timu ya Southampton kichapo kitakatifu cha mabao 6-1.
Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia kwa mshambuliaji wake, Sadio Mane na kuanza kuwachanganya wapinzani wao, lakini mfumo wa Klopp uliweza kubadilisha matokeo.
Mshambuliaji wa...
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.
Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;
Everton 2 – 0 Middlesbrough
Manchester City 4 – 1 Hull City
Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday
Southampton 1 – 6 Liverpool
Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Chelsea -nusu fainali Capital Cup.
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Liverpool kucheza nusu fainali ya FA
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Hungary waingia fainali Euro 2016
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Chelsea yatinga fainali Kombe la Capital
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uSNVoFImS3o/VTSyVkGpLdI/AAAAAAAHSEM/N2Mg8_bfOBk/s72-c/unnamed%2B(1).png)
WAKAAZI 10 TEMEKE WAINGIA KWENYE FAINALI YA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM
![](http://4.bp.blogspot.com/-uSNVoFImS3o/VTSyVkGpLdI/AAAAAAAHSEM/N2Mg8_bfOBk/s1600/unnamed%2B(1).png)
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Ni Liverpool na Chelsea Capital Cup