Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Liverpool yatinga nusu fainali Capital one

5440e5ea639b3LIVEPOOL, ENGLAND

KIKOSI cha kocha Jurgen Klopp, Liverpool, imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Capital One.

Klabu hiyo imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa timu ya Southampton kichapo kitakatifu cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia kwa mshambuliaji wake, Sadio Mane na kuanza kuwachanganya wapinzani wao, lakini mfumo wa Klopp uliweza kubadilisha matokeo.

Mshambuliaji wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Liverpool nusu fainali Capital one

Timu ya Liverpool imekua timu ya mwisho kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Capital one

 

9 years ago

Bongo5

Liverpool waingia nusu fainali ya Capital one

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Timu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital one .

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Liverpool ilipata ushindi kwa kuichapa timu ya Southampton kichapo cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji Sadio Mane.

2F0048BD00000578-3343438-image-m-63_1449091396265

Liverpool wakakomboa bao hilo kupitia mshambuliaji wao Daniel Sturridge katika dakika ya 29 , Sturridge, tena akaongeza bao la pili.

Mshambuliaji Divock Origi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatinga fainali Kombe la Capital

Chelsea wamefanikiwa kutinga fainali ya kombe la ligi la Capital One baada ya kuwachapa Liverpool bao 1-0

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana yatinga nusu Fainali

Ghana imekua timu ya tatu kutinga nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika ,baada ya kuibanjua Guinea kwa mabao 3-0.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba yatinga nusu Fainali ya Mapinduzi

Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kuichakaza Taifa Jang'ombe mabao 4-0 katika kuwania kombe la Mapinduzi

 

10 years ago

Tanzania Daima

Makundi 10 yatinga nusu fainali Dansi 100%

MAKUNDI 10 ya vijana ambao wanashindana katika umahiri wa kucheza muziki, maarufu kama Dance 100%, mwishoni mwa wiki yaliingia hatua ya nusu fainali katika mchuano mkali uliofanyika katika Uwanja wa...

 

10 years ago

Michuzi

Taswa FC yatinga nusu fainali Asas Dairies bonanza

Iringa. Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imetinga kwa vishindo michuano ya soka ya Asas Dairies Limited inayoendelea mkoani Iringa baada ya kushinda mechi zake zote za hatua ya makundi. Taswa FC ilichezo mechi yake ya kwanza dhidi ya Mkwawa Senior na kuicharaza kwa mabao 5-0 katika mchezo wa kundi A. Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Samora, ulikuwa mkali na wa kusisimua na Taswa FC ilifunga mabao yake kupitia kwa Zahoro Mlanzi aliyefunga mabao matatu...

 

11 years ago

GPL

STARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI

TIMU ya Kilimanjaro Stars imefanikiwa kusonga mbele hatua ya Nusu Fainali baada ya kuwatoa Mabingwa watetezi wa Kombe hilo Uganda kwa ushindi wa changamoto ya penalti 3-2 katika michuano ya kombe la Chalenji inayoendelea jijini Nairobi, nchini Kenya lakini shujaa akiwa kipa Ivo Mapunda . Katika mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Manispaa ya mji wa Mombasa nchini Kenya, Uganda ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani