Taswa FC yatinga nusu fainali Asas Dairies bonanza
![](http://1.bp.blogspot.com/-xnbMmirPTnI/VMzdrHEfxEI/AAAAAAAHAhs/0q2dhNNblHI/s72-c/taswa%2Bfc%2Bby%2Bmafoto%2Bblog.jpg)
Iringa. Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imetinga kwa vishindo michuano ya soka ya Asas Dairies Limited inayoendelea mkoani Iringa baada ya kushinda mechi zake zote za hatua ya makundi. Taswa FC ilichezo mechi yake ya kwanza dhidi ya Mkwawa Senior na kuicharaza kwa mabao 5-0 katika mchezo wa kundi A. Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Samora, ulikuwa mkali na wa kusisimua na Taswa FC ilifunga mabao yake kupitia kwa Zahoro Mlanzi aliyefunga mabao matatu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Ghana yatinga nusu Fainali
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Liverpool yatinga nusu fainali Capital one
LIVEPOOL, ENGLAND
KIKOSI cha kocha Jurgen Klopp, Liverpool, imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Capital One.
Klabu hiyo imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa timu ya Southampton kichapo kitakatifu cha mabao 6-1.
Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia kwa mshambuliaji wake, Sadio Mane na kuanza kuwachanganya wapinzani wao, lakini mfumo wa Klopp uliweza kubadilisha matokeo.
Mshambuliaji wa...
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Simba yatinga nusu Fainali ya Mapinduzi
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Makundi 10 yatinga nusu fainali Dansi 100%
MAKUNDI 10 ya vijana ambao wanashindana katika umahiri wa kucheza muziki, maarufu kama Dance 100%, mwishoni mwa wiki yaliingia hatua ya nusu fainali katika mchuano mkali uliofanyika katika Uwanja wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfUvPSttO0I5OPqdx44Kzq2wn7fqAHjinTcKQI7baQr2bif*jjyBGcjnqnyHGHTfqKVHEJ5Q-T1IXfSnlXmD3jrVgBV*GY0g/STAZ.jpg?width=650)
STARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kr5CgqBcRjE/VfzUp3blfhI/AAAAAAAH6AI/HQ1CnZMQqTE/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Timu ya soka ya wasichana ya Temeke yatinga Nusu fainali michuano ya Airtel Rising Stars
![](http://2.bp.blogspot.com/-kr5CgqBcRjE/VfzUp3blfhI/AAAAAAAH6AI/HQ1CnZMQqTE/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NSsOsn7_sJg/VfzUphEmQHI/AAAAAAAH6AE/uq2q4SBiokg/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Jul
Banda la ASAS Dairies Ltd lavutia wengi maonyesho ya sabasaba Dar, uongozi wasifu pongezi za Rais Jk