Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghana yatinga nusu Fainali

Ghana imekua timu ya tatu kutinga nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika ,baada ya kuibanjua Guinea kwa mabao 3-0.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Simba yatinga nusu Fainali ya Mapinduzi

Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kuichakaza Taifa Jang'ombe mabao 4-0 katika kuwania kombe la Mapinduzi

 

9 years ago

Mtanzania

Liverpool yatinga nusu fainali Capital one

5440e5ea639b3LIVEPOOL, ENGLAND

KIKOSI cha kocha Jurgen Klopp, Liverpool, imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Capital One.

Klabu hiyo imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa timu ya Southampton kichapo kitakatifu cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia kwa mshambuliaji wake, Sadio Mane na kuanza kuwachanganya wapinzani wao, lakini mfumo wa Klopp uliweza kubadilisha matokeo.

Mshambuliaji wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Makundi 10 yatinga nusu fainali Dansi 100%

MAKUNDI 10 ya vijana ambao wanashindana katika umahiri wa kucheza muziki, maarufu kama Dance 100%, mwishoni mwa wiki yaliingia hatua ya nusu fainali katika mchuano mkali uliofanyika katika Uwanja wa...

 

10 years ago

Michuzi

Taswa FC yatinga nusu fainali Asas Dairies bonanza

Iringa. Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imetinga kwa vishindo michuano ya soka ya Asas Dairies Limited inayoendelea mkoani Iringa baada ya kushinda mechi zake zote za hatua ya makundi. Taswa FC ilichezo mechi yake ya kwanza dhidi ya Mkwawa Senior na kuicharaza kwa mabao 5-0 katika mchezo wa kundi A. Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Samora, ulikuwa mkali na wa kusisimua na Taswa FC ilifunga mabao yake kupitia kwa Zahoro Mlanzi aliyefunga mabao matatu...

 

11 years ago

GPL

STARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI

TIMU ya Kilimanjaro Stars imefanikiwa kusonga mbele hatua ya Nusu Fainali baada ya kuwatoa Mabingwa watetezi wa Kombe hilo Uganda kwa ushindi wa changamoto ya penalti 3-2 katika michuano ya kombe la Chalenji inayoendelea jijini Nairobi, nchini Kenya lakini shujaa akiwa kipa Ivo Mapunda . Katika mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Manispaa ya mji wa Mombasa nchini Kenya, Uganda ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza...

 

9 years ago

Michuzi

Timu ya soka ya wasichana ya Temeke yatinga Nusu fainali michuano ya Airtel Rising Stars

 Mchezaji wa timu ya soka ya wasichana ya Ilala Rukia Annaph (kushoto) akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Temeke ilishinda 2-1

 Mchezaji wa timu ya soka ya wasichana ya  Ilala Tumaini Michael (Kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Temeke iliibukana na...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA VURUGU ZA MASHABIKI WAKATI WA MECHI YA NUSU FAINALI AFCON KATI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA

Helkopta ya polisi ikijaribu kutuliza ghasia wakati wa mechi kati ya Ghana na wenyeji Equatorial Guinea jana. Wachezaji wa Ghana wakitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali baada ya vurugu kutokea.…

 

9 years ago

BBCSwahili

New Zealand yatinga fainali

Timu ya taifa ya mchezo wa raga ya New Zealand wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya dunia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani