Hall amtaja Mwaikimba mechi JKT Ruvu
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema mchezo wao ujao dhidi ya JKT Ruvu unaotarajia kufanyika Alhamisi hii kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam utakuwa mgumu na kudai watakamiwa vilivyo na mshambuliaji Gaudence Mwaikimba.
Hall amesema hiyo inatokana na mshambuliaji huyo kuwahi kukipiga Azam FC kwa misimu mitatu kabla kutemwa msimu huu na kujiunga na JKT Ruvu.
“Kuna wachezaji wa Azam kama Mwaikimba atakayepambana vikali kutuonyesha kuwa bado...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMECHI YA KIRAFIKI NDANDA FC 4-1 JKT RUVU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bLW8BYtho5g/VJ1SYHNftKI/AAAAAAAG54c/RWuIvaZwNPM/s72-c/VPL1.png)
MECHI YA JKT RUVU, SHOOTING KUCHEZWA USIKU
![](http://4.bp.blogspot.com/-bLW8BYtho5g/VJ1SYHNftKI/AAAAAAAG54c/RWuIvaZwNPM/s1600/VPL1.png)
Timu hizo zitapambana kuanzia saa 1 kamili usiku katika mechi hiyo itakayoonyeshwa moja kwa moja (live) na Azam Tv.
Viingilio katika mechi hiyo ni sh. 3,000 kwa jukwaa la kawaida na sh. 5,000 kwa upande wa jukwaa la VIP.
Tiketi za kushuhudia mechi hiyo ambazo ni za elektoniki tayari...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PBvBvxMVroQ/VPXu6LtKz3I/AAAAAAAHHW4/glmAsdBoamc/s72-c/jerry-muro-massawe.jpg)
Yanga yaishukia bodi ya Ligi,yagomea mechi yao dhidi ya JKT Ruvu
![](http://1.bp.blogspot.com/-PBvBvxMVroQ/VPXu6LtKz3I/AAAAAAAHHW4/glmAsdBoamc/s1600/jerry-muro-massawe.jpg)
Uongozi wa Klabu ya Yanga umeishukia bodi ya Ligi kwa kile walichodai kuwa wamechakachua kanuni kwa kuiruhusu Timu ya Simba kumtumia mchezaji Ibrahimu Hajibu na kuitaka sheria zichukue mkondo wake huku wakigomea mechi yao dhidi ya JKT Ruvu kusogezwa mbele.
Akizungumza kwenye Makao Makuu ya Klabu hiyo leo, Msemaji wa Yanga Jerry Muro amesema Bodi ya Ligi inayumbisha soka la Tanzania kwa kupindisha sheria na kitendo walichofanya ni...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: EAMCEF, JKT Ruvu wadhamiria kutunza Mto Ruvu
MAZINGIRA ni suala mtambuka, kila mtu kwa nafasi yake anatakiwa kuwajibika kuhakikisha dunia inakua mahali salama pa kuishi. Uwajibikaji wetu licha ya kutunza mazingira, naamini utaongeza pia siku za kuishi...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Anuia kuirekebisha JKT Ruvu