Yanga yaishukia bodi ya Ligi,yagomea mechi yao dhidi ya JKT Ruvu
![](http://1.bp.blogspot.com/-PBvBvxMVroQ/VPXu6LtKz3I/AAAAAAAHHW4/glmAsdBoamc/s72-c/jerry-muro-massawe.jpg)
Jerry MuroMsemaji wa Timu ya YangaNa Ripota wa Globu ya Jamii
Uongozi wa Klabu ya Yanga umeishukia bodi ya Ligi kwa kile walichodai kuwa wamechakachua kanuni kwa kuiruhusu Timu ya Simba kumtumia mchezaji Ibrahimu Hajibu na kuitaka sheria zichukue mkondo wake huku wakigomea mechi yao dhidi ya JKT Ruvu kusogezwa mbele.
Akizungumza kwenye Makao Makuu ya Klabu hiyo leo, Msemaji wa Yanga Jerry Muro amesema Bodi ya Ligi inayumbisha soka la Tanzania kwa kupindisha sheria na kitendo walichofanya ni...
Michuzi