NORA: NILIINGIA VITANI NA JOHARI, KISA MAPENZI!
Mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’. Stori: Brighton Masalu KUTOKA moyoni! Bila kumtaja mwanaume husika, mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amekiri kuwahi kuingia vitani na staa mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kisa kikiwa ni kugombea penzi la mwanaume mmoja maarufu jijini Dar (jina ni siri yake). Katika mahojiano maalum na gazeti hili, Nora alifunguka kuwa hali hiyo ilitokana na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj2lsstfFHVuwVsldJpH0rqmKnkny3Q5Q*7p6s9MbjSVijDcoX4Tq7YXovpA3v9kxBX6lHYGvHHQ7kBdBEwIjwq3/JOHARI.jpg?width=650)
JOHARI,OSTAZ JUMA VITANI
10 years ago
GPLNORA: SIFIKIRII MAPENZI TENA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6YlAbTAOS4HPGJmBBDqE8R4Q9-dYjX*B6XWEi-g9f*HPS42Cv*h2uX9ldzcRvC3NRjGyOKGiqB3qlO3WcARCscp/t.jpg?width=650)
JOHARI: MAPENZI BONGO WIZI MTUPU!
9 years ago
Bongo Movies15 Sep
Kisa Pombe; Johari Azima, Akombwa Kila Kitu
Kisa pombe! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kupiga mitungi hadi akazima kisha kukombwa mkoba uliokuwa na kila kitu zikiwemo fedha taslimu Sh. 285,000/= na simu ya ‘tachi’ ya bei mbaya.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita kwa njia ya simu akiwa mkoani Tabora ambako Johari na baadhi ya mastaa wengine wapo kwa kazi maalum, mmoja wa wasanii hao alitonya kuwa tukio hilo lilijiri Alhamisi usiku, wakati wakiwa wanagida pombe, jambo lililozua taharuki...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-ijkfMaQAJHh*kJfKQijX6Pc1uW3FeegoYkczUrAWe4-Xm1RMWvrxICCj86ERFgtYXK4PQuIRX8tD0tkPJbHeByN/FRONTRISASI.jpg?width=650)
WASTARA AZIMIA KISA MAPENZI
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Ajinyonga kisa? Wivu wa mapenzi
NA CHIBURA MAKORONGO,KAHAMA
MFANYAKAZI wa kampuni ya uchambuaji pamba ya Kahama Oil Mills Ltd, Yusuph Abdallah (55) amekutwa amekufa bafuni baada ya kujinyonga kutokana na wivu wa mapenzi.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mhongolo, Elias Chuma, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tano asubuhi, baada ya mfanyakazi wa usafi wa nyumba ya kampuni aliyokuwa anakaa Abdallah, Pili Makoye, kumkuta Abdallah akiwa amejinyonga.
Kiongozi huyo alisema baada ya kuona hivyo, Pili alipiga owe ambapo watu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDr0YFJ3By0yJXc-odPmcItVp3J0RkmKTn5pUpI98gWlUWaE6sDjOBExCZpcvKCaJ6UmORultrqvH5J7Xu8uo14M/wivu.jpg)
AMCHOMA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWRt5Sl1mOFDAn0Sb8oK0VFigj7QeHyVRRCrzRNz4Cys7Fiup2r6Vbt7pc6qvFSWESGDdj0OuXpn8ekPWb*b-Tkz/dogo.jpg)
DOGO JANJA ABWATUKA, KISA MAPENZI
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Aunguzwa na uji kisa wivu wa mapenzi
MSICHANA Jackline Lasway maarufu kwa jina la Pendo, mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa...