JOHARI,OSTAZ JUMA VITANI
![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj2lsstfFHVuwVsldJpH0rqmKnkny3Q5Q*7p6s9MbjSVijDcoX4Tq7YXovpA3v9kxBX6lHYGvHHQ7kBdBEwIjwq3/JOHARI.jpg?width=650)
Stori: Sifael Paul na Erick Evarist NI mtafutano! Staa mkubwa wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameingia kwenye vita ya maneno na bosi wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo alipotangaza kumuoa mwanadada huyo. Staa mkubwa wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Wakizungumza na Risasi Jumamosi kwa nyakati tofauti, kila mmoja alitoa la...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQIyQzSH7eyiUzftSEwcIYVjM1mqbaXwqQx9qBG57sv*2tQA-eTzusPzsZ1sSlbx6NWBkfjITpGqpJIh**e8wpjk/ostazi.jpg?width=650)
OSTAZ JUMA AKAZIA UCHUMBA KWA JOHARI
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Ostaz Juma Namusoma ajituma
MKURUGENZI wa kundi la Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma, amesambaza kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Najituma’ ambayo imeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio. Katika wimbo huo,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4QLYHZGpwUtqrMN*zT1HpY0xM9C-Lfwe1*UV4lcjcZnpYFZFIolPcF-*-7xfrinxTAqKwSoh2v0zicnm3bP9F5/11722103_428945650611202_5672213971812156064_o.jpg?width=650)
OSTAZ JUMA NAYE KUTANGAZA NIA SOON!
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Fella amponda Ostaz Juma Namusoma
MENEJA mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini ‘Bongo Fleva,’ Said Fella ‘Mkubwa Fella’ amemponda Meneja na mmiliki wa ‘lebo’ ya Mtanashati, Ostaz Juma Namusoma, kwa kitendo cha kupigiwa magoti...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UJ8aoEZo49ZnIQ*xJ4acBDSZbwEJA0k5v5sSY2D*WRGslZGJu93dK81mWZWkU*5-bIbMclwFnL8w8lap*rlBvUhoHF9qtON*/ostazj.jpg?width=650)
OSTAZ JUMA KUMVAA NIMROD MKONO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFzeCMzdC-qf*mNDdducD09rtZU0JGhV*an6clOCfLm4pdkMmPEb4EvxUI1K2ONarSDCWbAMDAgHN4AoxYgeiP1m/OSTAZJUMA.jpg)
OSTAZ JUMA AMUANIKA MKEWE NA MTOTO WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Aaa76ACbkjIF1GHXHKb0K*PB2Rg*1cT*uoYeY8RN5MFsuyroGPJ4C8J-sFwTS3rdUgnQB*4t1roE0q1WeOejxfQJ9B14uP55/mademuwakizungu.jpg)
OSTAZ JUMA ATUPIA DONGO KWA WAPENDA MADEM WA KIZUNGU!