Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OSTAZ JUMA AKAZIA UCHUMBA KWA JOHARI

Na Gabriel Ng’osha
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo Muvi. Ostaz Juma Namusoma katika pozi na Johari. Habari zilizolifikia Amani kutoka kwa chanzo chetu zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JOHARI,OSTAZ JUMA VITANI

Stori: Sifael Paul na Erick Evarist NI mtafutano! Staa mkubwa wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameingia kwenye vita ya maneno na bosi wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo alipotangaza kumuoa mwanadada huyo. Staa mkubwa wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Wakizungumza na Risasi Jumamosi kwa nyakati tofauti, kila mmoja alitoa la...

 

10 years ago

GPL

OSTAZ JUMA ATUPIA DONGO KWA WAPENDA MADEM WA KIZUNGU!

Promota Ostaz Juma Ostaz akipata Selfie katika eneo la Sanamu ya Kumbukumbu ya hayati Mahatma Gandhi ambaye baada ya kufa na kuchomwa moto, sehemu ya majivu yake inaelezwa yalikuja kumwagwa Mto Nile.…

 

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ostaz Juma Namusoma ajituma

MKURUGENZI wa kundi la Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma, amesambaza kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Najituma’ ambayo imeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio. Katika wimbo huo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fella amponda Ostaz Juma Namusoma

MENEJA mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini ‘Bongo Fleva,’ Said Fella ‘Mkubwa Fella’ amemponda Meneja na mmiliki wa ‘lebo’ ya Mtanashati, Ostaz Juma Namusoma, kwa kitendo cha kupigiwa magoti...

 

10 years ago

GPL

OSTAZ JUMA KUMVAA NIMROD MKONO!

Ostaz Juma katika Pozi Ostaz Juma alipokuwa nje ya nchi Baada ya kimya cha muda mrefu na baada ya tetesi kuwa Ostaz Juma naye anajituma kwenye siasa, hatimaye ameibuka na kufungukia ishu ya Ubunge kuwa ni kweli anajiandaa kujitosa kwenye siasa. Juzi mtandao huu uliripoti kile ambacho alikiposti Ostaz Juma kwenye mtandao wake wa Instagram ambacho kiliashiria kujiandaa kuingia Bungeni ambapo baada ya kuibuka kwa stori hiyo, Ostaz...

 

10 years ago

GPL

OSTAZ JUMA NAYE KUTANGAZA NIA SOON!

Ostaz Juma Namusoma akiwa ndani ya vazi aliloliita la 'Bungeni' HII KALI! Mdau na promota wa muziki wa bongo fleva aliyejichimbia kwa muda mrefu, ameibuka na kali nyingine, safari hii ni kwenye uwanja wa siasa. Kupitia ukurasa wake wa Facebook na Instagram, Ostaz ametupiamo picha hiyo hapo juu akisindikiza na maneno 'muonekano wa bungeni' na hivyo kuzidisha ule uvumi ulioenea siku za hivi karibuni kuwa naye anataka kugombea...

 

10 years ago

GPL

OSTAZ JUMA AMUANIKA MKEWE NA MTOTO WAKE

Ostaz Juma (kushoto) akiwa na mkewe Mariamu na mwanae Hayyat Mariamu Daudi Mtoto Hayyan Juma…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani