Kisa Pombe; Johari Azima, Akombwa Kila Kitu
Kisa pombe! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kupiga mitungi hadi akazima kisha kukombwa mkoba uliokuwa na kila kitu zikiwemo fedha taslimu Sh. 285,000/= na simu ya ‘tachi’ ya bei mbaya.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita kwa njia ya simu akiwa mkoani Tabora ambako Johari na baadhi ya mastaa wengine wapo kwa kazi maalum, mmoja wa wasanii hao alitonya kuwa tukio hilo lilijiri Alhamisi usiku, wakati wakiwa wanagida pombe, jambo lililozua taharuki...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL‘MISS’ AANGUKA, AZIMIA AKOMBWA KILA KITU
10 years ago
GPLJOHARI: RAY NI KILA KITU KWANGU!
11 years ago
GPLWEMA ANYANG'ANYWA KILA KITU, KISA KURUDIANA NA DIAMOND
10 years ago
GPL‘POMBE ZITAMTOA ROHO JOHARI’
9 years ago
GPLNORA: NILIINGIA VITANI NA JOHARI, KISA MAPENZI!
11 years ago
GPLFLORA AKOMBA KILA KITU
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Ngeleja: Hatupingi kila kitu
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum, William Ngeleja, amesema hawapingi kila kitu kilichomo kwenye Rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabiliko ya Katiba. Ngeleja, amewataka watanzania wasikubali kupotoshwa...
9 years ago
Bongo Movies23 Nov
Dude Alizwa Kila Kitu
YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.
Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.
“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...
10 years ago
Mwananchi20 Jul
Kenya sasa kila kitu ni Obama