‘POMBE ZITAMTOA ROHO JOHARI’
![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70tYV-E3QgeGfRMzaD3d4yIQT9IpbTKuKE3gQdpnphEnJNw-dDQ*oGguguYjx5pzz4jw2M0q1JNuUmmOUvoYNcqv/mahaba.jpg?width=650)
Brighton Masalu Pombe zitamtoa roho! Unywaji wa pombe kupita kiasi anaoufanya staa wa sinema za Kibongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ umetafsiriwa kama kujihatarisha kiafya baada ya hivi karibuni kunaswa mchana wa jua la utosini akifakamia ulabu huku akionekana kuzidiwa, jambo lililozua minong’ono kwa baadhi ya watu, Risasi Mchanganyiko lilimnyatia. Staa wa sinema za Kibongo, Blandina William Chagula...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq18M4GcHRwiqOJn-UolCJ8sepqY*KNdUuwKgsOpzlyygpFXWM8fchNYCeANyK55LLBhCU6tX6e*HeB8r6p1V4ewD/joharii.jpg?width=650)
JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOSYXxVKYjn6oqZ9P35XLnWZQk3Wr6Xc-IW-GNPcTrq0dxRzwNlnFcS8m4ZQKQWztB0CAFtZ683SCd0vMTRDdLaa/johari.jpg?width=650)
JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU HANS
9 years ago
Bongo Movies15 Sep
Kisa Pombe; Johari Azima, Akombwa Kila Kitu
Kisa pombe! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kupiga mitungi hadi akazima kisha kukombwa mkoba uliokuwa na kila kitu zikiwemo fedha taslimu Sh. 285,000/= na simu ya ‘tachi’ ya bei mbaya.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita kwa njia ya simu akiwa mkoani Tabora ambako Johari na baadhi ya mastaa wengine wapo kwa kazi maalum, mmoja wa wasanii hao alitonya kuwa tukio hilo lilijiri Alhamisi usiku, wakati wakiwa wanagida pombe, jambo lililozua taharuki...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
11 years ago
Michuzi02 Aug
11 years ago
Michuzi05 Jul
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04ashx-gBuyueUXLYEiJ3t79o2*96pqYIvPNE4S1HKpTFKeusVe6izq4o*2JihroC44C-oL3hRQICdu8vVpJWq5DD/ros.jpg?width=650)
ROSE MUHANDO ROHO MKONONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ69-akeUffky*RWygowKA3-2s5dU1fXW6ONK33ESDmfulrwBKq7vgBIoazYYM2YhCwVtjFw14n4GSvLMJXjNzT10/1.jpg?width=650)
DIAMOND, ZARI ROHO MKONONI