faida ya swaum ki roho
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi06 Jul
10 years ago
Vijimambo20 Jun
MAWAIDHA YA RAMADHAAN - SWAUM
Fadhila Za Swawm
Ukht Muznah Faraj
Ndugu katika Iymaan
Sifa njema zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Mola wa viumbe wote mwingi wa rehma na mwingi wa kusamehe na rehma na amani zimfikie kipenzi chake Allaah Mtume wetu Muhammad (swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) Jamaa na Sahaba wake wote.
Amma Baad:
Ndugu yangu Muislamu ama kwa hakika umetufikia mwezi ulio mtukufu na wenye fadhila kubwa na mavuno kwa wenye mazingatio kwa hayo, nao ni mwezi wa Ramadhaan ambao Allaah...
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Malaika wafurahia Swaum ya Ramadhan
Huu ni mwezi wa Ramadhan.Inaelezwa kuwa hata Malaika wanafurahia mfungo huo? Baruan Muhuza anaangazia mfungo huo
11 years ago
Michuzi02 Aug
11 years ago
GPLWASTARA ASUMBULIWA NA ROHO YA KIFO
Wastara Juma. Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
OOOH! Zikiwa zimepita siku chache tangu staa wa filamu Bongo, Wastara Juma kunusurika kifo baada ya kudaiwa kunywa sumu na baadaye kupata ajali, anadaiwa kusumbuliwa na roho wa kifo. Kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Wastara aliweka picha za wasanii mbalimbali huku akimwelezea kila mmoja alivyo na mwishoni mwa maelezo hayo alimalizia kwa kusema...
9 years ago
GPLMIRATHI NUSURA IMTOE ROHO!
Masanga Said Bori, anayevuja damu. Boniphace Ngumije na Mayasa Mariwata BALAA! Mkazi wa Mtaa wa Manyoni, Ilala jijini Dar aliyejulikana kwa jina la Masanga Said Bori (pichani), Jumamosi iliyopita nusura atolewe uhai akitetea mirathi ya nyumba iliyoachwa na shangazi yake, Mwanafatima binti Mchinga akiwa na ndugu zake, Panya Bori, Mchinga Bori, Mwanafatima Bori na Zaujiha Bori. Kwa mujibu wa chanzo, nyumba hiyo namba 27/1 yenye...
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Sasa roho yangu imetulia
WAKATI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005, Rais Jakaya Kikwete, alivuma sana na alipendwa na watu wen
Privatus Karugendo
11 years ago
GPLROSE MUHANDO ROHO MKONONI
Stori:  Erick Evarist MY GOD! Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando anaishi roho mkononi kufuatia madai kwamba kuna watu wanaomsaka wakisemekana wametumwa kuichukua roho yake, Ijumaa Wikienda lina kisa kizima. Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo makini, Rose…
10 years ago
GPLDIAMOND, ZARI ROHO MKONONI
MUSA MATEJA NA SIFAEL PAUL TAHADHARI ichukuliwe! Habari zikufikie kuwa, baada ya staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz‘ na mpenzi wake, Zarinah Hassani ‘Zari’, kuhamia kwenye mjengo wake mpya uliopo Madale jijini Dar, imebainika kuwa familia hiyo inaishi roho mkononi kufuatia ulinzi sifuri, jambo linalowafanya kuishi kwa hofu tupu, Ijumaa Wikienda linakuhabarisha. Nyumba mpya ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania