MAWAIDHA YA RAMADHAAN - SWAUM
Fadhila Za Swawm
Ukht Muznah Faraj
Ndugu katika Iymaan
Sifa njema zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Mola wa viumbe wote mwingi wa rehma na mwingi wa kusamehe na rehma na amani zimfikie kipenzi chake Allaah Mtume wetu Muhammad (swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) Jamaa na Sahaba wake wote.
Amma Baad:
Ndugu yangu Muislamu ama kwa hakika umetufikia mwezi ulio mtukufu na wenye fadhila kubwa na mavuno kwa wenye mazingatio kwa hayo, nao ni mwezi wa Ramadhaan ambao Allaah...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi06 Jul
11 years ago
Michuzi05 Jul
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Malaika wafurahia Swaum ya Ramadhan
10 years ago
Michuzi21 Nov
9 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziKibadeni ampa mawaidha Kocha Phiri wa Simba
Kibadeni alisema Simba wana nafasi kubwa ya kutetea ushindi wao, lakini wanachotakiwa kuzingatia ni kwenye safu hizo mbili ili waweze kuzuia mashambulizi ya wapinzani wao, vinginevyo itawawia ngumu.
"Mechi hiyo itakuwa ngumu kwa...
10 years ago
CloudsFM27 Nov
SHEIKH WA WILAYA YA MBEYA AFA GHAFLA MAKABURINI BAADA YA KUTOA MAWAIDHA MAZISHINI
Sheikh huyo maarufu kwa jina la Mketo mkazi wa Nonde anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 50-60 amekutwa na mauti katika eneo la makaburi hayo ya Nonde mara tu baada ya kumaliza kutoa mawaidha kwa watu waliojumuika kumzika mama aliyefariki katika hospitali ya rufaa Mbeya juzi na msiba wake kuwekwa...
11 years ago
Michuzi01 Feb
SIKILIZA MAWAIDHA YA BABA PAROKO CHRISTIAN LIKOKO MAZIKONI KIJIJINI MBOGA, CHALINZE, MKOA WA PWANI
5 years ago
Michuzi29 Apr
MAWAIDHA YA SWAUMU NA AL MARHUM MUFTI SHEIK HEMED BIN JUMAA BIN HEMED
issamichuzi · MAWAIDHA YA SHEIKH HEMED BIN JUMAA BIN HEMED