Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEIKH WA WILAYA YA MBEYA AFA GHAFLA MAKABURINI BAADA YA KUTOA MAWAIDHA MAZISHINI

Sheikh mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini, Bakari Mketo amefariki dunia ghafla makaburini mara baada ya kuswalisha swala ya mazishi katika makaburi ya Nonde jijini na mkoani Mbeya jioni ya jana.
Sheikh huyo maarufu kwa jina la Mketo mkazi wa Nonde anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 50-60 amekutwa na mauti katika eneo la makaburi hayo ya Nonde mara tu baada ya kumaliza kutoa mawaidha kwa watu waliojumuika kumzika mama aliyefariki katika hospitali ya rufaa Mbeya juzi na msiba wake kuwekwa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSANII AFA GHAFLA!

Stori: Hamida Hassan Msiba! Bado bundi wa vifo anaendelea kung’ang’ania tasnia ya sinema za Kibongo kufuatia kifo cha ghafla cha msanii wa Bongo Muvi, Mariam Juma ‘MC Chimamy’ ambaye amefariki dunia ghafla baada ya kupatwa na kifafa cha mimba, ugonjwa uliomkuta muda mfupi kabla ya kujifungua. Msanii wa Bongo Muvi, Mariam Juma ‘MC Chimamy’ enzi za uhai wake. Mauti hayo yalimkuta MC Chimamy...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muhudumu wa hoteli afa ghafla

MUHUDUMU wa hoteli ya Hunters jijini Dar es Salaam Rose Mfuje (26) amefariki dunia ghafla baada ya kupata maumivu ya tumbo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alikiri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fundi seremala afa ghafla

FUNDI seremala, Ally Abdallah (33), mkazi wa Pugu amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla maeneo ya Buguruni Bakhressa jijini Dar es Salaam. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fundi ujenzi afa ghafla

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti akiwemo fundi ujenzi, Robert Simon (30), mkazi wa Buguruni, aliyekufa katika mazingira ya kutatanisha. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

SHEIKH MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO SHEIKH ABDULKADIR MOHAMED RAMIYA ATOA TAMKO LEO

Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Sheikh Abdulkadir Mohamed Ramiya akiongea na mwandishi wa Azam TV Bw. Octaviana baada ya kutoa tamko lake (hapo juu) leo mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA:WANAFUNZI WATATU WA KIKE WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WILAYA YA ILEJE.

Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya -SACP Ahmed Msangi--WANAFUNZI WATATU WA KIKE WANAOSOMA SHULE YA MSINGI ILOMBA AMBAO NI 1. SEVELINA MWILE [11], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE 2. GRACE PATSON [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE NA 3. AGEY SEME [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ILOMBA[W] MBEYA VIJIJINI WOTE WANAFUNZI WA DARASA LA NNE SHULENI HAPO WALIFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WAKATI WAKICHIMBA UDONGO NDANI YA SHIMO.
TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 12.11.2014 MAJIRA YA SAA 12:00HRS...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kikongwe Mbeya abakwa, afa

VIKONGWE  wawili, wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani Mbeya akiwemo   Mesia Shoti (71)  mkazi wa kijiji cha Sisitila, jijini Mbeya  kwa kubakwa na kisha kuuawa kwa kupigwa na kitu butu  kichwani. Tukio hilo limetokea...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI AANGUKA GHAFLA BUNGENI JANA

Mbunge wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa  na wahudumu wa afya mchana wa jana baada ya kudondoka ghafla ndani ya jengo la Ukumbi wa Bunge.Chanzo cha kuanguka kwake bado hakijafahamika.

 

10 years ago

Habarileo

Mwalimu afa baada ya kujitosa ziwani

Kaimu Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Sweetbert Njewike MWALIMU wa Shule ya Msingi Kibumaye iliyopo tarafa ya Inchage wilayani Tarime mkoani Mara, Nelson Zachma (50) amekufa kwa kujitosa Ziwa Victoria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani