Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI AANGUKA GHAFLA BUNGENI JANA

Mbunge wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa  na wahudumu wa afya mchana wa jana baada ya kudondoka ghafla ndani ya jengo la Ukumbi wa Bunge.Chanzo cha kuanguka kwake bado hakijafahamika.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale aanguka ghafla bungeni leo

Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chango cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa huko kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA MBEYA VIJINI LUCKSON MWANJALE (REV) AANGUKA GHAFLA BUNGENI


Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.  Picha kwa hisani ya Father Kidevu

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbunge aanguka ghafla bungeni

MBUNGE wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Lackson Mwanjali ameanguka ghafla katika eneo la Bunge, mjini hapa jana. Mbunge huyu, alipatwa na mkasa huo jana majira ya saa sita mchana. Walioshuhudia tukio...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Atoa Maelezo Yake binafsi Bungeni Baada ya Ishu ya Faiza Ally na Mtoto Wao kuzungumzwa Hapo Jana

Kwenye kilichosikika jana June 25 2015 toka ndani ya Kikao cha Bunge Dodoma ilikuwepo pia ishu ya Mbunge Martha Mlata kuanzisha mjadala kuhusu amri ya Mahakama kwamba Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Sugu akabidhiwe mtoto wake ambae amezaa na Faiza Ally kutokana na Mbunge huyo kuonekana kutoridhwishwa na malezi ya mtoto akiwa kwenye mikono ya mama yake.

Ombi likapokelewa kwenye meza ya Naibu Spika leo June 26 2015 >>>”Nimepokea ombi maalum la kuwasilisha maombi binafsi kutoka kwa...

 

11 years ago

GPL

H BABA AUGUA GHAFLA SIKU YA JANA

Staa wa Bongo Fleva,Hamis Baba 'H Baba' akiwa amelazwa siku ya jana baada ya kukimbizwa hospitali. STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana baada ya kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo, marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades, Kinondoni, Dar siku ya jana. Hamis Baba alisema kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA MGOMBEA MWEZA SAMIA MTWARA VIJIJINI JANA

 Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na walipozuia msafara wake njiani, katika eneo la Makonga wilayani Newala, wakati akieda kuhutubia mkikutano ya kampeni katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara jana, Septemba 16, 2015. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Liwale mjini, George Mkuchika, katika mkutanowa kampeni uliofanyika jana, Septemba 16, 2015,...

 

10 years ago

CloudsFM

SHEIKH WA WILAYA YA MBEYA AFA GHAFLA MAKABURINI BAADA YA KUTOA MAWAIDHA MAZISHINI

Sheikh mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini, Bakari Mketo amefariki dunia ghafla makaburini mara baada ya kuswalisha swala ya mazishi katika makaburi ya Nonde jijini na mkoani Mbeya jioni ya jana.
Sheikh huyo maarufu kwa jina la Mketo mkazi wa Nonde anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 50-60 amekutwa na mauti katika eneo la makaburi hayo ya Nonde mara tu baada ya kumaliza kutoa mawaidha kwa watu waliojumuika kumzika mama aliyefariki katika hospitali ya rufaa Mbeya juzi na msiba wake kuwekwa...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Hotuba Niliyotaka Kuitoa Bungeni Jana

Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.

Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na kupitia chama hiki nimejifunza mambo mengi sana....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani