Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NYUZZZZZ.....: Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale aanguka ghafla bungeni leo

Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chango cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa huko kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA MBEYA VIJINI LUCKSON MWANJALE (REV) AANGUKA GHAFLA BUNGENI


Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.  Picha kwa hisani ya Father Kidevu

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI AANGUKA GHAFLA BUNGENI JANA

Mbunge wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa  na wahudumu wa afya mchana wa jana baada ya kudondoka ghafla ndani ya jengo la Ukumbi wa Bunge.Chanzo cha kuanguka kwake bado hakijafahamika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbunge aanguka ghafla bungeni

MBUNGE wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Lackson Mwanjali ameanguka ghafla katika eneo la Bunge, mjini hapa jana. Mbunge huyu, alipatwa na mkasa huo jana majira ya saa sita mchana. Walioshuhudia tukio...

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangau:Luckson Mwanjale

Umeongoza kwa kipindi cha miaka minane sasa lakini mbona hatuoni lolote la maana ulilotufanyia wananchi wa Mbalizi?

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ......: Mbunge wa Viti maalumu CUF, MH. Clara Mwatuka Afariki Dunia ajalini jioni ya leo

Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Wananchi CUF, Mh. Clara Mwatuka, amefariki dunia jioni ya leo kwa ajali baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kupinduka lilipokuwa linashuka eneo la Makonde Plateu kuja Ndanda.
Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo Hospitali ya Rufaa ya Ndanda, Mkoani Mtwara.
Globu ya Jamii inaungana na Familia ya Marehemu katika kipindi hiki kigumu, na tunamuombea kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ....: AJALI NYINGINE YATOKEA JIJINI MBEYA LEO, ZAIDI YA WATU 20 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde toka Wilayani Rungwe, Jijini Mbeya inaeleza kuwa Basi dogo aina ya Toyota Hiace imetumbukia kwenye Mto Kiwira mapema leo na inadaiwa kuwa zaidi ya watu 20 waliokuwepo kwenye basi hilo wamepoteza Maisha.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, amesema kwamba ajali hii imetokea wakati Mabasi yafanyayo safari zake kati ya Mbeya na Kyela (maarufu kama Coaster) kugoma kutoa huduma ya kusafirisha abiria katika maeneo hayo, hivyo baadhi ya hiace za mjini kuamua...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Mwanjale arejea Bungeni leo

 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson Mwanjale (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mbozi Magharibi,Mh. David Silinde na Mh. Athuman Mfutakamba wakati akiwasili Bungeni mjini Dodoma leo.Mchungaji Mwanjale alipatwa na ugonjwa wa ghafla uliompelekea kukosa nguvu na kuanguka juzi Novemba 10,2014 wakati vikao vya Bunge vikiendelea,hali iliyopelekea kukimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.sasa yuko vizuri na amerejea Bungeni. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ......: Mbunge wa Ukonga, Mh. Eugene Mwaiposa afariki dunia

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIABUNGE LA TANZANIA 
 TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA  MWAIPOSA  kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu utaagwa kesho tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake...

 

10 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzzzz......Mahakama yaamuru kaburi la mume kufukuliwa kwa pingamizi la mke mkubwa dhidi ya mdogo kijiji cha mandaka wilaya ya moshi vijijini

Wachimabji wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro wakifukua Kaburi la Marehemu Stephen Assey  jioni hii kwa amri ya mahakama.
Na Dixon Busagaga wa Globu
 ya Jamii Kanda ya Kaskazini

Uamuzi wa kufukuliwa kwa kaburi hilo umefikiwa baada ya mke anayedaiwa kuwa ni wa ndoa wa marehemu Stephen Assey, Bi. Lucy Laurant kwenda mahakamani kuweka zuio la kuzikwa kwa marehemu katika eneo ilipo nyumba aliyokuwa akiishi na mke mdogo aliyefahamika kwa jina la Fortinata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani