Mbunge aanguka ghafla bungeni
MBUNGE wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Lackson Mwanjali ameanguka ghafla katika eneo la Bunge, mjini hapa jana. Mbunge huyu, alipatwa na mkasa huo jana majira ya saa sita mchana. Walioshuhudia tukio...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMBUNGE WA MBEYA VIJIJINI AANGUKA GHAFLA BUNGENI JANA
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA MBEYA VIJINI LUCKSON MWANJALE (REV) AANGUKA GHAFLA BUNGENI
Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo. Picha kwa hisani ya Father Kidevu
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZ.....: Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale aanguka ghafla bungeni leo
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Mbunge azomewa bungeni
MBUNGE wa Arumeru Magharibi, Dk. Godluck Ole Medeye (CCM), amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na baadhi ya wabunge wenzake kutokana na kushindwa kuuliza swali la nyongeza. Hali hiyo...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Mbunge Chadema atinga bungeni
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Mbunge wa CUF aeleza yanayojiri bungeni
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Mbunge adai kuvuliwa nguo bungeni,Kenya
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jIKk2mJPDRs/U-kBfc3ZzSI/AAAAAAAF-m0/CbKDD2LsYRA/s72-c/download.jpg)
MBUNGE WA CHADEMA AELEZA SABABU ZA KUREJEA BUNGENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-jIKk2mJPDRs/U-kBfc3ZzSI/AAAAAAAF-m0/CbKDD2LsYRA/s1600/download.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Jun
Mbunge adai kwa miaka 15 hajawahi kusinzia bungeni
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Diana Chilolo (wa kwanza kushoto) akipokelewa na kikundi cha uhamasishaji cha Nyota cha Mandewa manispaa ya Singida. Chilolo alifanya ziara ya kikazi katika manispaa ya Singida hivi karibuni na kuwataka wanawake kuondoa woga na kujitokeza kwa wingi kuomba nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao.
Mbunge wa viti maalum mkoa na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida, Diana Chilolo,akizungumza na wajumbe wa Baraza la UWT Singida vijijini ambapo aliwataka...