Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge adai kwa miaka 15 hajawahi kusinzia bungeni

DSC06174

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Diana Chilolo (wa kwanza kushoto) akipokelewa na kikundi cha uhamasishaji cha Nyota cha Mandewa manispaa ya Singida. Chilolo alifanya ziara ya kikazi katika manispaa ya Singida hivi karibuni na kuwataka wanawake kuondoa woga na kujitokeza kwa wingi kuomba nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao.

DSC06218

Mbunge wa viti maalum mkoa na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida,  Diana Chilolo,akizungumza na wajumbe wa Baraza la UWT Singida vijijini ambapo aliwataka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mbunge adai kuvuliwa nguo bungeni,Kenya

Mbunge mmoja mwanamke nchini Kenya sasa amejitokeza na kudai kwamba wabunge watatu wanaume walijaribu kumvua nguo.

 

10 years ago

Bongo5

Walter Chilambo adai hajawahi kutumia milioni 50 za BSS kwenye muziki wake

Mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2013, Walter Chilambo amesema hajawahi kutumia pesa aliyoshinda kwenye Shindano hilo kwa shughuli zake za muziki. “Milioni 50 nilizozipata nimezitumia kwa mambo mengine kabisa kama kununua gari na mengine ya kimaisha zaidi ya muziki, Chilambo aliiambia tovuti ya Times FM. Chilambo amesema kazi zake za muziki zilikuwa zikisimamiwa […]

 

9 years ago

Bongo5

AKA adai hajawahi kusikiliza diss track ya Cassper Nyovest ‘Dust 2 Dust’ iliyomlenga yeye

Cassper-Nyovest-and-AKA

Wakati rapper Cassper Nyovest anakula bata Zanzibar na mpenzi wake , rapper AKA ameiamsha tena beef yao ambayo ilikuwa imemezwa na historia aliyoiweka Cassper ya kujaza ukumbi wa watu elfu 20 mwenyewe hadi kupongezwa na Rais Jacob Zuma siku chache zilizopita.

Cassper-Nyovest-and-AKA

AKA ametweet na kusema kuwa hajawahi kusikiliza wimbo wa Cassper aliomdiss unaoitwa ‘Dust 2 Dust’.

Kwenye moja ya Tweet hizo AKA ameandika “kwanini nijidanganye kusikiliza wimbo uliojaa uongo kuhusu mimi?” (hapa sijui amejuaje umejaa...

 

11 years ago

GPL

ANA MIAKA 31, HAJAWAHI KUTEMBEA HATA SIKU MOJA

Stori: waandishi Wetu
Mateso juu ya mateso! Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Grace Mkondora mkazi wa Mabibo Farasi, Dar anateseka na uti wa mgongo tangu alipozaliwa. Grace (31) anayeishi na mama yake, Mary Liyoya alizaliwa kabla ya muda wake (Miezi 8) na alipozaliwa alikuwa na uzito wa kilo moja tu. Hali yake ilianza kuwa tofauti tangu akiwa mdogo ambapo alikuwa hawezi hata kucheza wala kuongea chochote. Mama Grace...

 

10 years ago

Bongo5

Kalapina adai akiwa mbunge hatosita kutoa kichapo kwa wenzie watakaomletea upuuzi

Rapper Kalapina ambaye anatarajia kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuusaka ubunge wa jimbo la Kinondoni, amesema kuwa akipata fursa hiyo hatosita kusambaza kichapo kwa wabunge wenzie pindi wanapokuwa na malumbano ndani ya mjengo. Akiongea kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, Kalapina amedai kuwa atatembeza ‘nakozi’ kwakuwa anatambua hakuna sheria inayoweza kumbana kutokana na kufanya […]

 

10 years ago

StarTV

Mlinzi wa kiwanja kwa zaidi ya miaka 20 adai haki zake

Serikali na taasisi za haki za binadamu zimeombwa kumsaidia mwananchi Issa Hassan Kilopola kupata haki yake ya kulipwa malimbikizo ya mshahara wa miaka 25 ya ulinzi wa Kiwanja nambari 24, Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Mlinzi huyo anadai malimbikizo ya mshahara huo tangu mwaka 1990 kutoka kwa mmiliki wa awali wa kiwanja hicho Abbullih Majid anayedaiwa kufariki dunia.

Kiwanja hicho kwa sasa kinadaiwa kuuzwa kwa Mbunge aliyemaliza muda wake Suleiman...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri auawa kwa kusinzia mbele ya rais

Waziri wa ulinzi wa Korea Kaskazini ameuawa kwa kutokuwa muaminifu kwa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un.

 

5 years ago

BBCSwahili

David Obala: Kwa nini mbunge wa Uganda alipeleka nzige bungeni?

Video ya mbunge mmoja wa Uganda aliyebeba na kupeleka nzige bungeni imesambaa katika mitandao ya kijamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani