Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANA MIAKA 31, HAJAWAHI KUTEMBEA HATA SIKU MOJA

Stori: waandishi Wetu
Mateso juu ya mateso! Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Grace Mkondora mkazi wa Mabibo Farasi, Dar anateseka na uti wa mgongo tangu alipozaliwa. Grace (31) anayeishi na mama yake, Mary Liyoya alizaliwa kabla ya muda wake (Miezi 8) na alipozaliwa alikuwa na uzito wa kilo moja tu. Hali yake ilianza kuwa tofauti tangu akiwa mdogo ambapo alikuwa hawezi hata kucheza wala kuongea chochote. Mama Grace...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MCHEZAJI EMERSON ALIYELETWA YANGA KWA MAJARIBIO HAJAWAHI CHEZA HATA MECHI MOJA KWENYE TIMU YAKE YA ZAMANI

 Huyu ndie mchezaji mpya wa Yanga, Emerson de Oliveira Neves Roque aliyeletwa na kocha Mbrazili wa Marcio Maximo kufanyiwa majaribio ili azibe pengo la Jaja. Roque, kwa muji wa taarifa za mtandao wa Int.Soccerway.com hajacheza hata mechi moja katika timu yake ambayo imemsajili kama mlinzi lakini huku analetwa kujaribiwa nafasi ya kiungo.



Timu anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6.

Habari kwa hisani ya...

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA SITUMII KINGA HATA SIKU MOJA

Stori: Gladness Mallya BAADA ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku moja. Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha  Akipiga stori na paparazi wetu, Baby Madaha alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI WA JKT AKUTWA AMELEWA CHAKALI HAWEZI HATA KUTEMBEA


Katika hali isiyotegemewa askari mmoja wa jeshi la kujenga Taifa (JKT) anayesadikika kuwa na wa kambi ya Mafinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa usiku wa leo amenusurika kuvuliwa nguo za jeshi hadharani baada ya kukutwa amelewa chakari na kulala katika mfereji wa maji machafu eneo la nje ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani mjini Iringa

Tukio hilo lilitokea muda wa saa 2 usiku baada ya wasamaria wema kumshusha askari huyo kutoka katika basi la Mgumba ambalo alikuwa amepanda kutoka Mafinga...

 

10 years ago

Mwananchi

Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi

Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mtindo wa maisha umebadilika ikiwamo watu wengi kutumia usafiri wa magari hata kwa safari ya umbali mfupi

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge adai kwa miaka 15 hajawahi kusinzia bungeni

DSC06174

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Diana Chilolo (wa kwanza kushoto) akipokelewa na kikundi cha uhamasishaji cha Nyota cha Mandewa manispaa ya Singida. Chilolo alifanya ziara ya kikazi katika manispaa ya Singida hivi karibuni na kuwataka wanawake kuondoa woga na kujitokeza kwa wingi kuomba nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao.

DSC06218

Mbunge wa viti maalum mkoa na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida,  Diana Chilolo,akizungumza na wajumbe wa Baraza la UWT Singida vijijini ambapo aliwataka...

 

5 years ago

Michuzi

Man City kuwaongezea siku moja zaidi Liverpool kusubiri taji baada ya miaka 30

SIKU muhimu sana pale Stamford Bridge! Hii ni mechi ambayo inaweza kutupa jibu la nani bingwa katika Ligi Kuu ya Uingereza. Bila shaka, Man City bado wanataka kuwakwamisha Liverpool, watahitaji kukamilisha kibarua hiki kigumu kwa kusepa na ushindi kutoka wapinzani wao wa London.
Unachopaswa kufahamu, hapa Meridianbet kuna idadi kubwa sana ya odds zinazoisubiri mechi hii. Matokeo mengine yeyote zaidi ya Man City kushinda ina maana baada ya miaka 30 ya kusubiri, hatimaye Anfield wanapokea taji....

 

9 years ago

Bongo Movies

Hata Kama ni ‘Used’, Johari Ana Thamani Yake

NENO! Mwigizaji mkongwe kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameweka wazi kwamba wasanii wengi wachanga wamekuwa wakipenda kutumia jina la ‘used’ kwa wasanii wakongwe lakini kwa upande wake anajiona bado ana thamani kubwa.

Johari ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, japokuwa wanamuita ‘used’ lakini akisimama katika kucheza filamu, thamani yake inakuwa ni kubwa kwani kile anachokifanya anakifahamu vyema wala hawezi kutetereka.

“Sawa, mimi ni ‘used’ lakini thamani...

 

10 years ago

Habarileo

Mchungaji afa na miaka 114, mjane ana miaka 30

MCHUNGAJI Samuel Sadela (114), wa Kanisa la Gospel Apostolic huko Nigeria aliyehubiri kwa miaka 82 amefariki dunia na kuacha mjane mwenye umri wa miaka 30 aitwaye Christina aliyemuoa miaka saba iliyopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani