Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchungaji afa na miaka 114, mjane ana miaka 30

MCHUNGAJI Samuel Sadela (114), wa Kanisa la Gospel Apostolic huko Nigeria aliyehubiri kwa miaka 82 amefariki dunia na kuacha mjane mwenye umri wa miaka 30 aitwaye Christina aliyemuoa miaka saba iliyopita.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MCHUNGAJI JELA MIAKA 30

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa UHALIFU! Mchungaji kutoka Nigeria, Chid Okechukwi aliyekamatwa na kikosi kazi (task force) cha kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya nchini akiwa na kilo 81 za madawa ya kulevya aina ya cocaine amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na faini ya shilingi bilioni tisa akitoka mwaka 2045. Mchungaji huyo akiwa chini ya ulinzi pamoja na wenzake. Mchungaji Okechukwi wa kanisa moja la kiroho nchi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mzee wa miaka 90 afa kwa moto Dar

WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti jijini Dar es Salaam moja likimuhusisha Mzee Fares Makundi (90), Mkazi wa Kimara Temboni aliyeungua moto akiwa chumbani. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

9 years ago

Global Publishers

Mchungaji amfungia mwanaye ndani miaka 12

IMG_1239Timotheo anayedaiwa kufungiwa ndani na wazazi wake kwa miaka 12.

Na Mwandishi Wetu, UWAZI
SINGIDA: Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste katika Kijiji cha Itaga mkoani Singida, David Mtipa (59) na mkewe, Maria Phillip (45), wanasota katika Gereza la Singida baada ya kushindwa masharti ya dhamana kufuatia kufikishwa mahakamani Ijumaa iliyopita kwa madai ya kumfungia ndani kwa miaka 12, mtoto wao, Timotheo (30).

Watuhimiwa hao walipandishwa kizimbani kwa madai ya kushindwa kumpatia huduma muhimu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Minala ana umri wa miaka 17-Lazio

Klabu ya Lazio imepinga madai kuwa nyota wake Joseph Minali ana umri wa miaka 41 na kusema kuwa ana miaka 17 pekee

 

11 years ago

BBCSwahili

Lazio; Minala ana miaka 17 sio 42

Uchunguzi wa shirikisho la soka la Italia umebaini Joseph Minala ana umri wa miaka 17 sio 42..

 

9 years ago

Habarileo

Mchungaji, mkewe wamfungia ndani mtoto kwa miaka 12

POLISI mkoani Singida inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje.

 

11 years ago

Mwananchi

Ana umri wa miaka 12, aolewa kwa ng’ombe 15

>Wamasai ni miongoni wa jamii chache duniani, ambazo zimefanikiwa hadi sasa kudumisha mila zake. Katika mila za jamii hii, zipo ambazo zinapaswa kuendelezwa na nyingine zinapaswa kupigwa marufuku.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji jela miaka minne kwa kuuza watu nje

Mchungaji raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jean Bamana amehukumiwa kwenda jela miaka minne baada ya kushindwa kulipa faini ya Sh10 milioni kwa kosa la kujihusisha na biashara ya kusafirisha binadamu.

 

11 years ago

GPL

ANA MIAKA 31, HAJAWAHI KUTEMBEA HATA SIKU MOJA

Stori: waandishi Wetu
Mateso juu ya mateso! Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Grace Mkondora mkazi wa Mabibo Farasi, Dar anateseka na uti wa mgongo tangu alipozaliwa. Grace (31) anayeishi na mama yake, Mary Liyoya alizaliwa kabla ya muda wake (Miezi 8) na alipozaliwa alikuwa na uzito wa kilo moja tu. Hali yake ilianza kuwa tofauti tangu akiwa mdogo ambapo alikuwa hawezi hata kucheza wala kuongea chochote. Mama Grace...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani