Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchungaji amfungia mwanaye ndani miaka 12

IMG_1239Timotheo anayedaiwa kufungiwa ndani na wazazi wake kwa miaka 12.

Na Mwandishi Wetu, UWAZI
SINGIDA: Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste katika Kijiji cha Itaga mkoani Singida, David Mtipa (59) na mkewe, Maria Phillip (45), wanasota katika Gereza la Singida baada ya kushindwa masharti ya dhamana kufuatia kufikishwa mahakamani Ijumaa iliyopita kwa madai ya kumfungia ndani kwa miaka 12, mtoto wao, Timotheo (30).

Watuhimiwa hao walipandishwa kizimbani kwa madai ya kushindwa kumpatia huduma muhimu...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DOKTA AMFUNGIA BABA’KE NDANI MIAKA 4!

Deogratius Mongela na Chande Abdallah Haya ni madai mazito! Pamoja na kukanusha kwa nguvu zote, bado dokta wa  upasuaji wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke, Dar aliyetajwa kwa jina moja la Twalib, anadaiwa kumfungia ndani baba yake mzazi, Harub Fitina akimuweka pamoja na kuku na sungura huku akipata mateso ya kunyimwa chakula na huduma nyingine za kibinadamu kwa miaka minne sasa, Ijumaa Wikienda limeibua mazito. ....Soma...

 

9 years ago

Habarileo

Mchungaji, mkewe wamfungia ndani mtoto kwa miaka 12

POLISI mkoani Singida inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje.

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Amfungia mtoto katika banda la mbuzi kwa miaka 10

>Juni 21 ilikuwa ni siku ya kawaida kwa Mama Nancy mkazi wa Narok nchini Kenya, lakini ilifichua siri nzito ya mtoto aliyefichwa kwa miaka kumi katika banda la mbuzi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12

IMG_1239

Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...

 

10 years ago

Habarileo

Mchungaji afa na miaka 114, mjane ana miaka 30

MCHUNGAJI Samuel Sadela (114), wa Kanisa la Gospel Apostolic huko Nigeria aliyehubiri kwa miaka 82 amefariki dunia na kuacha mjane mwenye umri wa miaka 30 aitwaye Christina aliyemuoa miaka saba iliyopita.

 

9 years ago

GPL

FLORA, MWANAYE NDANI YA FILAMU!

Staa wa filamu na muziki, Flora Mvungi ‘H.Mama’ akiwa na mwanaye. Gladness Mallya STAA wa filamu na muziki, Flora Mvungi ‘H.Mama’ amecheza filamu moja na mtoto wake aitwaye Tanzanite, akisema anafanya hivyo ili kuonesha kipaji alichonacho. Akipiga stori na gazeti hili, Flora alisema baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu akilea, sasa amerudi rasmi na kazi yake hiyo inaitwa Mtegoni, aliyosema itasisimua wengi. Katika filamu...

 

10 years ago

GPL

MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI

Stori: Haruni Sanchawa
Tukisema dunia imekwisha,tutakuwa hatujafanya makosa maana matukio ya utesaji, unyayasaji na ukatili kwa watoto wachanga yamekuwa yakichukua kasi  kubwa ndani ya jamii. Mtuhumiwa Bhoke Steven (21) anayedaiwa kumfungia ndani mwanaye anayejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10). Hivi karibuni mama mmoja, Bhoke Steven (21) (pichani), mkazi wa Kitunda, wilayani Ilala, Dar es Salaam amejikuta matatani...

 

11 years ago

Michuzi

Baba adaiwa kumuua mwanaye wa miaka 8 mkoani Njombe

Kamanda wa polisi mkoa wa
Njombe SACP Fulgence Ngonyani Na Edwin Moshi, Njombe Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia Bw. Yusufu Sadick Mkalile (33) kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaaa mwenyewe kwa kumziba pua na mdomo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani  imesema kuwa mtuhumiwa alitenda mauaji hayo Machi 16 mwaka huu majira ya saa 03:20 asubuhi, ambapo alimziba pua na mdomo mwanaye huyo aitwaye...

 

9 years ago

GPL

MCHUNGAJI JELA MIAKA 30

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa UHALIFU! Mchungaji kutoka Nigeria, Chid Okechukwi aliyekamatwa na kikosi kazi (task force) cha kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya nchini akiwa na kilo 81 za madawa ya kulevya aina ya cocaine amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na faini ya shilingi bilioni tisa akitoka mwaka 2045. Mchungaji huyo akiwa chini ya ulinzi pamoja na wenzake. Mchungaji Okechukwi wa kanisa moja la kiroho nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani