FLORA, MWANAYE NDANI YA FILAMU!
Staa wa filamu na muziki, Flora Mvungi ‘H.Mama’ akiwa na mwanaye. Gladness Mallya STAA wa filamu na muziki, Flora Mvungi ‘H.Mama’ amecheza filamu moja na mtoto wake aitwaye Tanzanite, akisema anafanya hivyo ili kuonesha kipaji alichonacho. Akipiga stori na gazeti hili, Flora alisema baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu akilea, sasa amerudi rasmi na kazi yake hiyo inaitwa Mtegoni, aliyosema itasisimua wengi. Katika filamu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Mchungaji amfungia mwanaye ndani miaka 12
Timotheo anayedaiwa kufungiwa ndani na wazazi wake kwa miaka 12.
Na Mwandishi Wetu, UWAZI
SINGIDA: Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste katika Kijiji cha Itaga mkoani Singida, David Mtipa (59) na mkewe, Maria Phillip (45), wanasota katika Gereza la Singida baada ya kushindwa masharti ya dhamana kufuatia kufikishwa mahakamani Ijumaa iliyopita kwa madai ya kumfungia ndani kwa miaka 12, mtoto wao, Timotheo (30).
Watuhimiwa hao walipandishwa kizimbani kwa madai ya kushindwa kumpatia huduma muhimu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rFFi-SX8PjWtQ4*9ufTcQyS6KcX91tK56-OIsxv6oWeXK4Orwb0BaaJY482y24iP6S3e4O1LX8gi64ZDoC-cs9PKe0JeR-MG/mbaroni.jpg)
MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI
11 years ago
GPLH-BABA, MKEWE FLORA MVUNGI NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
9 years ago
Michuzi09 Sep
KUMBUKUMBU YA FLORA (MAPENDO YA FLORA)
Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi. Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.Sote tuzidi...
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
JB Kuja na Filamu ya ‘Watani wa Jadi’ Wazee Tupu Ndani
Muigizaji na muongozaji wa filamu ambae pia anamiliki kampuni yake ya utenegezaje wa filamu ya Jerusalem, Jacob Stephen ‘JB’ amesema kwasasa wanafanya kazi mpya inayoitwa Watani wa Jadi ambayo itasheheni waigizaji wazee ambao ni wakali kwenye tasnia.
“New Project Yetu Inaitwa Watani Wa Jadi,Cast; Mzee Chimbeni Herry, Mzee Halikuniki,Mzee Chepuo,Bi Hindu Na Msichana Mmoja Bado Sijampata.Ni Movie Ya Wazee Tuone Swaga Zao.Itafanyika Zanzibar Kuanzia Wiki Ijayo”. JB alieleza.
Ngoja tuisubiri...
10 years ago
Bongo Movies21 Apr
Filamu Mpya: Wolper , King Majuto Ndani ya ‘Huba’
Filamu mpya iliyochezwa na wakali wa Bongo Movies Wolper, Mzee Majuto na wengine wengi, inayokwenda kwa jina la HUBA kuingia sokoni wiki hii, 23.04.05.
Filamu ya Huba ni filamu inamzungumzia kijana alieachiwa mali na wazazi wake na yeye kuanza kuzitumia vibaya,kijana huyo alikua anaishi nyumba moja na babu yake ambaye ndio mzee Majuto.
Kijana alikua na tabia ya kubadili wasichana ndio akazama kwenye penzi la Wolper na kuzani Wolper anapenzi la dhati kwake kumbe amefata pesa tu.
Hii sio...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-HytkJRXvkko/VW62M8JkugI/AAAAAAAAgp4/whjhCMW2ck8/s640/Mpango%2BMbaya-Poster.jpg)
FILAMU YA MPANGO MBAYA KUZINDULIWA NDANI YA UKUMBI WA MLIMANI CITY
11 years ago
Michuzi01 Mar
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...