FILAMU YA MPANGO MBAYA KUZINDULIWA NDANI YA UKUMBI WA MLIMANI CITY
![](http://2.bp.blogspot.com/-HytkJRXvkko/VW62M8JkugI/AAAAAAAAgp4/whjhCMW2ck8/s640/Mpango%2BMbaya-Poster.jpg)
MPANGO MBAYA ni filamu iliyochezwa na washiriki 10 waliofanikiwa kuingia katika Fainali ya shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) msimu wa kwanza 2014 na kushirikisha baadhi ya waigizaji mahiri kutoka katika kiwanda cha Filamu Tanzania. Filamu ya Mpango Mbaya ni filamu ambayo imetengenezwa kwa viwango vya hali ya juu huku ikikidhi viwango vya kimataifa na ni filamu ambayo ina ubora wa hali ya juu kuanzia ubora wa picha,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3PcONz1K9Ik/VXaTDJEiANI/AAAAAAAHdRc/oYo9FK6t7fA/s72-c/unnamed111.jpg)
FILAMU YA MPANGO MBAYA YA TMT KURUSHWA MLIMANI CITY CINEMA 12.JUNE.2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-3PcONz1K9Ik/VXaTDJEiANI/AAAAAAAHdRc/oYo9FK6t7fA/s400/unnamed111.jpg)
Sinema hiyo ambayo imeshirikisha wasanii wakali wenye elimu ya uigizaji kutoka kwa wakufunzi kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam imerekodiwa katika viwango vya kimataifa ndio maana inaanza kurushwa katika majumba ya sinema...
10 years ago
Bongo Movies11 Jun
Mpango Mbaya ya Mwanaafa Kurushwa Mlimani City
KATIKA kutafuta ubora wa filamu kuelekea kimataifa filamu kubwa ya Mpango Mbaya inayowashirikisha wasanii walioibuliwa na mradi wa kuibua vipaji nchini nzima wa Tanzania Movie Talent 2014(TMT) inatarajia kurushwa katika jumba la Sinema Mlimani City tarehe 12.June 2015 anasema Staford Kihore.
“Hatua ya kwanza ilikuwa ni kutafuta vipaji halisi na kuwapatia elimu ya uigizaji, kupitia TMT na hatua ya pili ni kuwachanganya na wasanii waliopo katika tasnia pili ni kwenda kimataifa kwa filamu yao...
9 years ago
MichuziFILAMU MPYA 'GOING BONGO' KUZINDULIWA RASMI IJUMAA CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY JIJINI DAR
Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi huo mtunzi na muandishi ambaye pia ameisimamia katika kuitengeneza na kuigiza filamu hiyo, Ernest Napoleon alisema,
“Naamini kuonyeshwa kwa filamu hii kutaandika historia...
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
PICHA: Uzinduzi wa filamu ya Mbwa Mwitu ulivyokuwa hapo jana kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji. Tazama baadhi ya picha toka kwenye tukio hili. Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji....
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) kufanyika tarehe 30 August 2014 ndani ya ukumbi wa Mlimani City
Mc Pilipili akiongea mbele ya Waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari kuhusiana na fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) litakalofanyika tarehe 30 August 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia Mida ya Saa 7:30 PM (Usiku) huku viingilio vikiwa ni Elfu Hamsini (50,000/=) kwa V.I.P na Elfu thelethini (30,000/=) kwa Kawaida. Wapili Kushoto ni Meneja Mradi TMT Joshua Moshi, Julieth Samson “Kemmy” ambae ni Mwalimu wa Nidhamu na Afisa Uhusiano TMT,...
10 years ago
VijimamboFilamu ya Mpango Mbaya ina viwango vya Kimataifa
10 years ago
MichuziFilamu ya Mpango Mbaya ina viwango vya Kimataifa - Wadau
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
Wadau: Filamu ya Mpango Mbaya ina viwango vya Kimataifa
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Group, Bw Johnson Lukaza akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa filamu ya Mpango Mbaya iliyochezwa na washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) mwaka 2014, uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa sinema wa century uliopo Mlimani City, Jijini Dar Es Salaam. Filamu hii ni moja ya filamu ambayo ina ubora wa hali ya juu huku wadau waliofanikiwa kuitazama filamu hiyo kuvutiwa nayo na kukubali kuwa ni filamu yenye viwango vya...
9 years ago
Bongo513 Dec
Video: Wasemavyo walioitazama filamu ya Going Bongo, Mlimani City
![12356420_957636774330521_1441234626_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12356420_957636774330521_1441234626_n-300x194.jpg)
Filamu ya Going Bongo imeanza kuoneshwa pale Century Cinemax, Mlimani City jijini Dar es Salaam. Ni movie ya kwanza ya Tanzania kufanywa hivyo. Tazama reaction za watu walioitazama.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!