KUMBUKUMBU YA FLORA (MAPENDO YA FLORA)
TUNAPOADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KUMBUKUMBU
YA KIFO CHA MPENDWA WETU FLORA FLOWIN MKANULA(1993 – 2013)___________________________________Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi. Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.Sote tuzidi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u3jUCwu57cY/VemKQkadauI/AAAAAAAH2VE/NeShIYQrBrw/s72-c/IMG-20140225-WA0003%255B1%255D.jpg)
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA FLORA FLOWIN MKANULA
![](http://1.bp.blogspot.com/-u3jUCwu57cY/VemKQkadauI/AAAAAAAH2VE/NeShIYQrBrw/s320/IMG-20140225-WA0003%255B1%255D.jpg)
KUMBUKUMBU YA FLORA(MAPENDO YA FLORA)_________________________
TUNAPOADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MPENDWA WETU FLORA FLOWIN MKANULA(1993 – 2013)___________________________________
Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-giQBJDM2wM8/VL9qpB2hv0I/AAAAAAADWPU/t6rahjXgMtg/s72-c/Flora-Mbasha-Xmass-Card.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Flora Mvungi: Sijabahatisha
NYOTA wa filamu za Kibongo ‘Bongo Movie’ aliyegeukia muziki wa Bongo Fleva, Flora Mvungi, amesema hajaingia katika tasnia ya muziki huo kwa kubahatisha, kwani alianza kuimba kabla watu hawajamfahamu kupitia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6pEZNpG8oVy6Fk3RXjSsCr4jdT9auMRfTZzcrjVF4ITcPCjp46jb3Uku9J4bG8102MHbtI23X0B4qJFSRCsJAvW/flora.jpg)
MBASHA, FLORA WAPATANA
Stori: WAANDISHI WETU HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia. Mume wa Flora Mbasha, Bw. Emmanuel Mbasha. ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632qWvVYRLHF*q1qIBxy8Vn5vgft*9s8aj6ayTqOQTv*It4Kg6o53u3hXNEM-WQODec3QguzO5K-4pRbaCwVflAZu/3.jpg?width=650)
FLORA NA HOFU YA KIFO
Na Gladness Mallya KUTOKANA na hivi karibuni mumewe, Hamis Baba ‘H. Baba’ kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue ‘Dengi’ na kulazwa Muhimbili, msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi amesema alijikuta kwenye wakati mgumu kuhofia mumewe angepoteza maisha. Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi akiwa na Hamis Baba ‘H. Baba’.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Flora alisema ni Mungu tu mumewe...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRmkiNyONmKW6b8GJXPfuWsHT2UPvgV2OmQsf92vBYrWl2lYy9hJm8nAqfk8zwAk1bdUivUq*BxO1X9VUQg7BbdC/FLORA.jpg)
FLORA MBASHA AVAMIWA
Stori: Makongoro Oging'
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka. Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovBvkbD1WKlIDxPLHUd710KXBBpsOUBywJAckvsF*89RpunGRDvtTIETQfUlw4D-YN08A*6lhzVWW6sdxHIVhtIV/FLORA.jpg?width=650)
FLORA ALIA NA VIBAKA
STAA wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi ameeleza masikitiko yake baada ya kuibiwa na vibaka. Kioo kilichovunjwa pamoja na sehemu zilizoibiwa vitu kwenye gari hilo. Akizungumza na paparazi wetu, Flora alisema siku ya tukio mumewe H. Baba alitoka na gari lake aina ya Toyota I.S.T kwenda mtaa wa Lumumba-Kariakoo, akapaki na kuingia kwenye mizunguko yake lakini aliporejea alishtuka baada ya kukuta kioo kimevunjwa na vitu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRMtm9nqBqoyq4aA2XmwJLobKW8OkK*0aaIagsc2I0geR5N5t8LY6--srYYixgV4ZQ8-GuSXRq8vF0rV*SCu4xoT/MAHARIYAFLORAMVUNGI1.jpg)
FLORA MVUNGI ADAIWA KUCHEPUKA!
Mrembo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ MREMBO kunako filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ amewashangaa wanaomsema pembeni kuwa kawahi kuchepuka na kukanusha vikali kuwa hakuwahi kufanya hivyo tangu afunge ndoa na mumewe, Khamisi Ramadhani ’H-Baba.’ Akifunguka ya moyoni kwa paparazi wetu,Flora alisema tangu wakutane na H-Baba kipindi cha uchumba wao hajawahi...
9 years ago
Vijimambo10 Oct
Mbasha: Siwezi kumsamehe Flora
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/mbasha.jpg)
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha.
Brighton MasaluSiku chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha kufuta kesi ya kudai talaka mahakamani na kudai kuwa bado ana ‘mapenzi’ na mumewe, Emmanuel Mbasha ameibuka na kujiapiza kuwa kutokana na ukali wa mateso aliyoyapitia wakati wa kesi yake, kamwe hawezi kumsamehe mwanamke huyo.
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/mbashaaaa.jpg)
Akizungumza na Ijumaa kwa njia ya simu, Jumatano ya wiki hii siku moja baada ya Flora kuamua kufuta...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania