FLORA NA HOFU YA KIFO
![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632qWvVYRLHF*q1qIBxy8Vn5vgft*9s8aj6ayTqOQTv*It4Kg6o53u3hXNEM-WQODec3QguzO5K-4pRbaCwVflAZu/3.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya KUTOKANA na hivi karibuni mumewe, Hamis Baba ‘H. Baba’ kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue ‘Dengi’ na kulazwa Muhimbili, msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi amesema alijikuta kwenye wakati mgumu kuhofia mumewe angepoteza maisha. Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi akiwa na Hamis Baba ‘H. Baba’. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Flora alisema ni Mungu tu mumewe...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u3jUCwu57cY/VemKQkadauI/AAAAAAAH2VE/NeShIYQrBrw/s72-c/IMG-20140225-WA0003%255B1%255D.jpg)
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA FLORA FLOWIN MKANULA
![](http://1.bp.blogspot.com/-u3jUCwu57cY/VemKQkadauI/AAAAAAAH2VE/NeShIYQrBrw/s320/IMG-20140225-WA0003%255B1%255D.jpg)
KUMBUKUMBU YA FLORA(MAPENDO YA FLORA)_________________________
TUNAPOADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MPENDWA WETU FLORA FLOWIN MKANULA(1993 – 2013)___________________________________
Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asF*SQblaZ*F6SKKQLmrLlJHCwGXlxdzsjpYEAAlVRQ2jzIB*bWDt-lOZIloh1Ya8CmxijnhaEm4gmch2CuR8RK/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD--3KIKwfTUZLJYmFGi4noEyapJUXJITaZvSaNfpiXtJzVJRQSBn6REK5ws41bPNWzbBfU715zyU9lDUHWxyqwIL/snura.jpg?width=650)
HOFU YA KIFO YATAWALA MASTAA BONGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V7mcip*tK2Ry1FL3OfqsrLeryCK4D7ipO2p4oLk7x1VMCfFPjTrsegz3B2mW4WXphYCiNNgn7Zbd0WH0HrNUwsuStRefYI1A/BACK.jpg)
KIFO CHA TINO MADHAHABU, BONGO MUVI HOFU UPYA!
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Familia inayodai hofu ya ugonjwa wa corona kulisababisha kifo cha mtoto wao.
9 years ago
StarTV22 Nov
Hofu yatanda kwa viogozi wa vyama vya siasa mkoani Geita kuhusu Kifo Cha Mawazo
Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mkuu wa Wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie amesema kuna dalili za baadhi ya watu kutaka kuchafua amani iliyopo Wilayani hapo kwa kutoa taarifa zisizo na ukweli juu ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Alphonce Mawazo huku na baadhi ya watu kutishiwa maisha.
Amesema kuwa zipo taarifa za kiintelijensia na pia ushahidi wa ujumbe mfupi unaotishia kuwaua viongozi wa vyama vya siasa Wilaya na Mkoa wa Geita wakihusishwa na tukio la Kifo cha...
9 years ago
Michuzi09 Sep
KUMBUKUMBU YA FLORA (MAPENDO YA FLORA)
Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi. Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.Sote tuzidi...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-giQBJDM2wM8/VL9qpB2hv0I/AAAAAAADWPU/t6rahjXgMtg/s72-c/Flora-Mbasha-Xmass-Card.jpg)
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani