Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOFU YA KIFO YATAWALA MASTAA BONGO

Stori: Shani Ramadhani na Deogratius Mongela
HOFU ya kifo imetawala kwa mastaa Bongo ikiwa ni siku chache baada ya gazeti hili toleo la Jumamosi iliyopita kutoka na habari ya utabiri wa Hussein Yahaya, ikieleza kuwa mwaka huu vifo zaidi vitaendelea kwa wasanii wa filamu, muziki, waandishi wa habari, viongozi wa dini na wanasiasa. Aunt Ezekiel. Risasi Mchanganyiko limepata kuzungumza na baadhi ya wasanii wa sanaa mbalimbali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIFO CHA TINO MADHAHABU, BONGO MUVI HOFU UPYA!

Stori: waandishi Wetu/Ijumaa
HOFU! Waigizaji wa tasnia ya filamu Tanzania, ambao walikuwa wameanza kusahausahau misiba mfululizo iliyowatokea miaka michache iliyopita, juzikati walijikuta wakitoneshwa kidonda, baada ya kutokea kifo cha muigizaji Tino Madhahabu, kilichotokea Tunduma mkoani Mbeya, kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Muigizaji Tino Madhahabu enzi… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Hofu ya ugaidi yatawala mwaka mpya duniani

Nchi mbalimbali ulimwenguni zimeukaribisha mwaka mpya kwa mchanganyiko wa matumaini, hofu na kumbukumbu za namna mwaka 2015 ulivyokubwa na matukio ya ugaidi.     

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

VIFO VYA MASTAA VYAMPA HOFU DAVINA

Stori: Hamida Hassan HOFU! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amewashauri wasanii kujikabidhi mikononi mwa Mungu kwani anaona jinsi wasanii wanavyozidi kupukutika. Halima Yahya ‘Davina’. Kuonesha msisitizo, Davina amewasihi wasanii wenzake kuacha kutumia pombe na kwa wale ambao wanatajwa katika ishu za usagaji, waache mara moja kwani Mungu anajidhirisha kila kukicha kwamba yupo na watu...

 

11 years ago

GPL

FLORA NA HOFU YA KIFO

Na Gladness Mallya KUTOKANA na hivi karibuni mumewe, Hamis Baba ‘H. Baba’ kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue ‘Dengi’ na kulazwa Muhimbili, msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi amesema alijikuta kwenye wakati mgumu kuhofia mumewe angepoteza maisha. Msanii wa filamu Bongo, Flora Mvungi akiwa na Hamis Baba ‘H. Baba’.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Flora alisema ni Mungu tu mumewe...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO

Stori: Gladness Mallya DUH! Staa  wa filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa anakiona kifo chake hivyo anawaomba msamaha aliowakosea na kuwasamehe waliomkosea. Staa  wa filamu Bongo, Shamsa Ford akipozi. Akistorisha na gazeti hili, Shamsa alisema ameamua kuanza kujisafishia njia kwani yeye ni binadamu na umauti unaweza kumkuta muda wowote hata kama akiwa mzima. “Ninaomba msamaha kwa wote niliowakosea kwani mimi ni...

 

11 years ago

GPL

UFUSKA WA MASTAA BONGO

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja NI laana! Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska, Ijumaa Wikienda lina mkanda kamili. Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza. Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na Kibao Kata cha mtoto wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.… ...

 

10 years ago

GPL

MASTAA NA UPEPO WA KISIASA BONGO!!!

Na Hamida Hassan
Kuanzia Jumamosi iliyopita, viongozi mbalimbali wamekuwa wakijitokeza na kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Hakika idadi ni kubwa lakini mwisho wa siku lazima apatikane mmoja ambaye atachuana na mgombea kutoka Ukawa. Rose Ndauka. Kutokana na hilo, mastaa wa hapa Bongo nao wamekuwa sehemu ya kutangaza nia kwa waheshimwa hao kwani wapo walioonesha wazi kuwa wanamuunga...

 

10 years ago

Vijimambo

Mastaa wa Bongo Movie ni “Masnichi”

“Nawapenda sana Bongo Movie lakini chakusikitisha vile vichwa mnavyoviamini kwenye tasinia ndo masnichi wakubwa simtoke huko tafuteni kazi nyingne kama hamjasoma kama mimi jifunzeni kushona nguo kama mimi me sahivi na fundi wangu Mgece naingia class asubuh najioni nimeshachoka kutumikishwa na Wahindi ....kipaji changu kingine mitindo so najisogeza kwenye mitindo mbali mbali sio kubanana sehemu ambapo ampendani kazi majungu nakusnchiana kila siku .. Nawahindi awatetereki maana hao mnaowaita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani