Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hata Kama ni ‘Used’, Johari Ana Thamani Yake

NENO! Mwigizaji mkongwe kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameweka wazi kwamba wasanii wengi wachanga wamekuwa wakipenda kutumia jina la ‘used’ kwa wasanii wakongwe lakini kwa upande wake anajiona bado ana thamani kubwa.

Johari ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, japokuwa wanamuita ‘used’ lakini akisimama katika kucheza filamu, thamani yake inakuwa ni kubwa kwani kile anachokifanya anakifahamu vyema wala hawezi kutetereka.

“Sawa, mimi ni ‘used’ lakini thamani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

AY asema mama yake na Sean Kingston humchukulia kama mwanae,’ hata kwenye Instagram yangu ana comment’

AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama kama familia. AY ameiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara. “Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama […]

 

9 years ago

Bongo5

Hata Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA

Taarifa za rapper Kanye West kutaka kugombea urais wa Marekani ifikapo mwaka 2020, hazikuwashangaza watazamaji tu, bali hata mkewe Kim Kardashian hakuwa anafahamu mpaka aliposikia mumewe Kanye akitangaza kwenye tuzo za VMA. Akizungumza kwenye kipindi cha The Ellen DeGeneres Show, mama kijacho Kim K amesema anaamini kuwa mume wake Kanye yuko serious katika uamuzi huo […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Patcho Mwamba: Hakuna Staa wa Kike Ana Nyota Kama ya Wema Sepetu, Ila Dhambi Yake ni Moja...

Staa wa Bongo movies na mwanamziki wa Fm Academia Patcho Mwamba funguka kuwa staa mwennzake wa bongo movies, Wema Sepetu ana nyota kali zaidi ya mastaa wote wa kike wa hapa Bongo, Pacho ameyasema hayo akiwa anajibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"

''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna staa wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Johari: Thamini Kinachokupa Thamani

Kiukweli huyu ni moja kati ya wanawake wanaojituma na kufanya kazi kwenye tasnia hii ya Bongo Movies, amekuwa ni bora kwenye kucheza na kuongoza filamu nyingi, amewasidia wengi kutoboa kwenye tasnia kupitia kampuni yao ya RJ, utakubaliana na mimi huyu moja kati ya wanawake wanaojielewa sana kwenye tasnia, sio mwingine ni Blandina Chagula “Johari”.

Mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu  matandaoni, akiwa ofisini kwake aliandika “Thamini kinachokupa thamani” huu ni ujumbe mzito sana...

 

11 years ago

GPL

ANA MIAKA 31, HAJAWAHI KUTEMBEA HATA SIKU MOJA

Stori: waandishi Wetu
Mateso juu ya mateso! Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Grace Mkondora mkazi wa Mabibo Farasi, Dar anateseka na uti wa mgongo tangu alipozaliwa. Grace (31) anayeishi na mama yake, Mary Liyoya alizaliwa kabla ya muda wake (Miezi 8) na alipozaliwa alikuwa na uzito wa kilo moja tu. Hali yake ilianza kuwa tofauti tangu akiwa mdogo ambapo alikuwa hawezi hata kucheza wala kuongea chochote. Mama Grace...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo ana thamani ya pauni milioni 300

Imeelezwa kuwa Ronaldo ana thamani ya Pauni 300 iwapo ataamua kuihama Real Madrid

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

10 years ago

GPL

JOHARI: SIHITAJI MUME STAA KAMA RAY

Imelda Mtema /Uwazi
STAA mkongwe katika tasnia ya filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa kamwe hatarajii kuolewa na staa kama Vicent Kigosi ‘Ray’ bali anahitaji mume wa kawaida asiye maarufu. Akizungumza na Uwazi, Johari alisema kuwa kwa upande wake hachagui mwanaume gani wa kumuoa bali tu ajue kumthamini na kumuheshimu kama mwanamke. Staa mkongwe katika tasnia ya filamu, Blandina Chagula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani