Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hata Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA

Taarifa za rapper Kanye West kutaka kugombea urais wa Marekani ifikapo mwaka 2020, hazikuwashangaza watazamaji tu, bali hata mkewe Kim Kardashian hakuwa anafahamu mpaka aliposikia mumewe Kanye akitangaza kwenye tuzo za VMA. Akizungumza kwenye kipindi cha The Ellen DeGeneres Show, mama kijacho Kim K amesema anaamini kuwa mume wake Kanye yuko serious katika uamuzi huo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

KIM KARDASHIAN APOST PICHA ZAKE ZA HARUSI NA KANYE WEST KWA MARA YA KWANZA KWENYE INSTAGRAM

Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita huko Forte di Belvedere Florence, Italia.

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West azungumzia mipango yake ya kugombea urais wa Marekani mwaka 2020

Kama ulikuwa na mashaka juu ya kauli aliyoitoa Kanye West ya kuwa atagombea urais wa Marekani mwaka 2020, rapper huyo amesisitiza kuwa yupo serious na alichokisema. Mwezi uliopita kwenye tuzo za 2015 MTV VMAs, Kanye alitangaza kuwa atagombea Uras wa Marekani ifikapo mwaka 2020, na sasa amethibitisha kuwa alimaanisha kile alichokisema pamoja na kuelezea mipango […]

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West na Kim Kardashian wapata mtoto wa kiume

kim na kanye

Hatimaye mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian amejifungua mtoto wao wa pili, wa kiume siku ya Jumamosi Asubuhi (Dec .5).

kim na kanye

Kim aliandika taarifa ya kujifungua kupitia website yake. “Kim Kardashian West and Kanye West welcomed the arrival of their son this morning. Mother and son are doing well,” ulisomeka ujumbe huo.

He's here! https://t.co/KlWQrG3Ri9 pic.twitter.com/NRLQCeQ5H4

— Kim Kardashian West (@KimKardashian) December 5, 2015

Mpaka sasa Kim na Kanye bado hawajasema jina la mtoto...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndoa ya Kanye West, Kim Kardashian ilivyokuwa gumzo Duniani

MEI 24, Dunia ilishuhudia shamrashamra za harusi ya mastaa wakubwa wanaotikisa kwa kazi zao, mwanadada, Kim Kardashian na Kanye West, baada ya wawili hao kufunga ndoa wakiachana na ukapera. Kim...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West kufanya wimbo wa pamoja na mkewe Kim Kardashian?

Rapper Kanye West pamoja na mke wake Kim Kardashian ambaye kwa pamoja wanatarajia kupata mtoto wao wa pili, wanadaiwa kuwa na mpango wa kuingia studio kufanya collabo! Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Sun kuwa Kim ameamua kuanza kujifunza kupiga piano kama sehemu ya maandalizi ya collabo hiyo, na kuwa Kanye ana mpango wa kuachia […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Kanye West na Kim Kardashian wawa visura wa kampeni ya Balmain

Kanye West na Kim Kardashian ni visura wapya wa kampeni ya Balmain iliyopewa jina, “Army of Lovers.” Hii ni mara ya kwanza wawili hao wanapata deal la fashion la pamoja kama mtu na mke wake. Tazama picha zao.

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West na Kim Kardashian watoa jina la mtoto wao wa kiume

kanye and kim

Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.

kanye and kim

Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?

Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili...

 

10 years ago

Bongo5

Kanye West amuandikia ujumbe mtamu wa birthday mkewe Kim Kardashian

October 21 Kim Kardashian West amesheherekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 34. Staa huyo wa Keeping Up With The Kardashians ambaye ni mama wa mtoto mmoja (North West) amepokea pongezi nyingi ikiwemo ya mume wake rapper Kanye West, ulioambatana na maneno matamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani