Kanye West azungumzia mipango yake ya kugombea urais wa Marekani mwaka 2020
Kama ulikuwa na mashaka juu ya kauli aliyoitoa Kanye West ya kuwa atagombea urais wa Marekani mwaka 2020, rapper huyo amesisitiza kuwa yupo serious na alichokisema. Mwezi uliopita kwenye tuzo za 2015 MTV VMAs, Kanye alitangaza kuwa atagombea Uras wa Marekani ifikapo mwaka 2020, na sasa amethibitisha kuwa alimaanisha kile alichokisema pamoja na kuelezea mipango […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo502 Sep
Rihanna amuunga mkono Kanye West aliyetangaza kuwania urais wa Marekani 2020
10 years ago
Bongo501 Oct
Hata Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA
10 years ago
Mtanzania01 Sep
Kanye West kuwania urais 2020
NEW YORK, Marekani
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ametangaza nia ya kuwania urais wa nchi hiyo mwaka 2020.
Msanii huyo aliweka wazi mpango wake huo wakati wa utoaji wa tuzo za VMA ‘MTV Video Muzic’ nchini humo huku akiamini kuwa kutangaza huko ni maamuzi magumu kwake.
Alipojinadi alidai ana uhakika ataingia Ikulu ya Marekani yeye na mkewe mwanamitindo, Kim Kardashian.
“Natangaza rasmi kuwa mwaka 2020 nitajitupa katika kinyang’any’iro cha kuwania urais kwa imani kubwa...
10 years ago
Bongo511 Oct
Video: Obama ampa Kanye West dondoo muhimu za kumsaidia kwenye uamuzi wake wa kuwania Urais wa Marekani
10 years ago
Bongo521 Apr
Hutaamini rapper wa Marekani aliyetangaza kugombea Urais mwaka 2016!
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Kanye West azindua bibilia yake
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Rapper mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuitoa hii yake album sokoni…
Ni headlines za rapper aishiye Marekani ‘Minnesota’ mwenye asili ya Tanzania ambaye aliwahi kushirikishwa na Kanye West kwenye ngoma iitwayo ‘All Day’. Good news ninayotaka kushea na wewe ni kwamba mtanzania huyo hivi karibuni anatarajia kuachia album yake mpya iitwayo ‘NORTHERN LIGHTS’ tarehe 6 mwezi January tukae mkao wa kuipokea. My new project NORTHERN […]
The post Rapper mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuitoa hii yake album sokoni… appeared first on...
11 years ago
Bongo516 Oct
Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Jeb Bush kugombea urais Marekani