Video: Obama ampa Kanye West dondoo muhimu za kumsaidia kwenye uamuzi wake wa kuwania Urais wa Marekani
Barack Obama ameamua kumpa Kanye West dondoo muhimu anazopaswa kuzizingatia katika uamuzi wake wa kuwania urais wa Marekani. “Nina ushauri kwake,” Obama alisema kwenye hafla ya uchangishaji fedha uliohudhuriwa pia na rapper huyo ambaye alitangaza kuwania urais wa nchi hiyo mwaka 2020. “First of all, you’ve got to spend a lot of time dealing with […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Sep
Rihanna amuunga mkono Kanye West aliyetangaza kuwania urais wa Marekani 2020
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Kanye West kuwania urais 2020
NEW YORK, Marekani
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ametangaza nia ya kuwania urais wa nchi hiyo mwaka 2020.
Msanii huyo aliweka wazi mpango wake huo wakati wa utoaji wa tuzo za VMA ‘MTV Video Muzic’ nchini humo huku akiamini kuwa kutangaza huko ni maamuzi magumu kwake.
Alipojinadi alidai ana uhakika ataingia Ikulu ya Marekani yeye na mkewe mwanamitindo, Kim Kardashian.
“Natangaza rasmi kuwa mwaka 2020 nitajitupa katika kinyang’any’iro cha kuwania urais kwa imani kubwa...
9 years ago
Bongo528 Sep
Kanye West azungumzia mipango yake ya kugombea urais wa Marekani mwaka 2020
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
![222](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/222-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Kanye West ampa Kim bonge la zawadi
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wao wa pili ‘Saint’, mkali huyo wa hip hop ameamua kumpa zawadi mke wake ya Sh bilioni 2.
Msanii huyo ameamua kuonesha jeuri ya fedha ikiwa ni shukrani kwa mke wake kwa ajili ya kumzalia mtoto wa pili.
Kanye alifanya hivyo ikiwa ni siku chache tangu Kim ajifungue mtoto huyo ambaye kwa sasa amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa Jarida la People la Marekani, limeandika kwamba Kanye amekuwa mtu wa furaha...
9 years ago
Bongo501 Oct
Hata Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA
9 years ago
BBCSwahili11 Oct
Obama amkejeli rappa Kanye West
5 years ago
BBCSwahili21 Feb
Urusi inajaribu kumsaidia rais Trump kushinda uchaguzi wa urais, wabunge wa marekani waambiwa