Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hutaamini rapper wa Marekani aliyetangaza kugombea Urais mwaka 2016!

Hillary Clinton ameshatangaza nia ya kugombea urais mwaka 2016 lakini huenda akakutana na upinzani kutoka kwa Mmarekani mweusi mwingine kama ilivyokuwa kwa Barack Obama mwaka 2008! Hata hivyo huyu si mshindani unayeweza kumdhania – ni rapper! November mwaka 2012, Waka Flocka Flame alitweet: I’m dead ass running for president in 2016.” Na sasa amethibitisha kuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kanye West azungumzia mipango yake ya kugombea urais wa Marekani mwaka 2020

Kama ulikuwa na mashaka juu ya kauli aliyoitoa Kanye West ya kuwa atagombea urais wa Marekani mwaka 2020, rapper huyo amesisitiza kuwa yupo serious na alichokisema. Mwezi uliopita kwenye tuzo za 2015 MTV VMAs, Kanye alitangaza kuwa atagombea Uras wa Marekani ifikapo mwaka 2020, na sasa amethibitisha kuwa alimaanisha kile alichokisema pamoja na kuelezea mipango […]

 

9 years ago

Bongo5

Rihanna amuunga mkono Kanye West aliyetangaza kuwania urais wa Marekani 2020

Kanye West alitangaza uamuzi mkubwa kwenye VMAs weekend iliyopita – kuwania urais wa Marekani 2020. Haijalishi kama ataendelea na uamuzi huo, lakini tayari rapper huyo ameshapata support kutoka kwa mastaa wengine akiwemo Rihanna. Kwenye interview na ET, muimbaji huyo wa “Bitch Better Have My Money”alimuunga mkono Yeezy. “I mean people are voting for [Donald] Trump,” […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeb Bush kugombea urais Marekani

Gavana wa jimbo la Florida Jeb Bush ametangaza nia ya kugombea urais wa Marekani katika uchaguzi ujao

 

10 years ago

Vijimambo

Hillary Clinton atangaza kugombea urais Marekani

Hillary Rodham Clinton akihutubia mkutano New York City March 10, 2015.
Hillary Clinton, mke wa rais wa zamani Bill Clinton, ametangaza kuwaanagombania urais wa Marekani mwaka 2016.

Kulingana na John Podesta, mshauri mwandamizi wa Bi Clinton waziri wa mambo ya nje katika awamu ya kwanza ya Rais Barack Obama, alitangaza nia yake kwa kutuma email Jumapili kwa wafadhili na watu waliomuunga mkono katika kampeni yake ya kwanza ya urais mwaka 2008.

Baadaye Clinton alitangaza rasmi ugombea wake katika...

 

10 years ago

StarTV

Jeb Bush kugombea urais Marekani kupitia Republican.


Jeb Bush gavana wa Florida aliyetangaza kugombea urais wa Marekani 2016

Mwanasiasa wa chama cha Republican, na gavana wa jimbo la Florida, Jeb Bush ametangaza rasmi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya urais wa taifa hilo kubwa duniani kiuchumi kwa tiketi ya chama hicho cha Republican.

Akizungumza katika mkutano wake wa hadhara huko Miami,Jeb ambaye baba yake na kaka yake wamewahi kuongoza Marekani ameubeza utawala wa Rais Obama katika sera zake za mambo ya nje.

Lakini mwandishi wa...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond amesharekodi collabo na msanii mkubwa wa Marekani, hutaamini ni yupi!

Diamond Platnumz is unstoppable! Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukisikia tetesi kuwa amerekodi ngoma na msanii mkubwa wa Marekani japo hakuwahi kumtaja, lakini sasa tunaweza kuwa na ubashiri sahihi! Muimbaji huyo alikuwa akiongea kwenye kipindi cha 360 cha Clouds TV leo asubuhi ambapo aliulizwa ni msanii gani wa nje ya Afrika anayependa kufanya naye kazi. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani