Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Johari: Thamini Kinachokupa Thamani

Kiukweli huyu ni moja kati ya wanawake wanaojituma na kufanya kazi kwenye tasnia hii ya Bongo Movies, amekuwa ni bora kwenye kucheza na kuongoza filamu nyingi, amewasidia wengi kutoboa kwenye tasnia kupitia kampuni yao ya RJ, utakubaliana na mimi huyu moja kati ya wanawake wanaojielewa sana kwenye tasnia, sio mwingine ni Blandina Chagula “Johari”.

Mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu  matandaoni, akiwa ofisini kwake aliandika “Thamini kinachokupa thamani” huu ni ujumbe mzito sana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Hata Kama ni ‘Used’, Johari Ana Thamani Yake

NENO! Mwigizaji mkongwe kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameweka wazi kwamba wasanii wengi wachanga wamekuwa wakipenda kutumia jina la ‘used’ kwa wasanii wakongwe lakini kwa upande wake anajiona bado ana thamani kubwa.

Johari ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, japokuwa wanamuita ‘used’ lakini akisimama katika kucheza filamu, thamani yake inakuwa ni kubwa kwani kile anachokifanya anakifahamu vyema wala hawezi kutetereka.

“Sawa, mimi ni ‘used’ lakini thamani...

 

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Thamini ulivyo navyo, ufanikiwe zaidi

CHANGOMOTO kubwa kwa vijana wengi na maswali mengi tunayojiuliza ni kwa jinsi gani tunaweza kutengeneza mafaniko katika maisha yetu. Mtaalamu wa sayansi ya mafanikio, Napoleon hill katika kitabu chake think...

 

11 years ago

GPL

ACHA KUMUUMIZA MOYO WAKE, THAMINI HISIA ZAKE!-2

KARIBU kwenye All About Love, bila shaka kuna vitu vipya vingi unavyovuna katika ukurasa huu. Kama ni mara ya kwanza kusoma hapa, tabasamu maana umeingia kwenye ulimwengu wa elimu kubwa ya uhusiano na mapenzi. Unaweza kunisoma pia kwenye Let’s Talk About Love kwenye gazeti la Ijumaa, Elimu ya Mapenzi katika gazeti la Championi Jumamosi na Love & Life ndani ya gazeti la Uwazi kila Jumanne. Ungana nami uzidi kukuza ufahamu...

 

10 years ago

GPL

THAMINI KURA YAKO, TUNZA KADI UCHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA

NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuandika haya nitakayoandika leo kwa manufaa ya nchi yangu ninayoipenda.Watanzania wote tuliojiandikisha tunatarajia kupiga kura Oktoba 25, mwaka huu. Kura ni kitendo cha kumchagua kiongozi ambaye wewe binafsi unaona atafaa kuongoza jamii katika ngazi fulani. Kitendo hicho hufanyika mara moja baada ya muda fulani kufuatana na jinsi mlivyojipangia wenyewe kisheria. Hapa kwetu huwa kila...

 

10 years ago

Michuzi

WORD LUNG FOUNDATION NA SERIKALI YA MKOA WA KIGOMA WAZINDUA KAMPENI YA THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO NA MTOTO

Na Editha Karo wa Globu ya Jamii, Kigoma
SERIKALI ya Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Word Lung Foundation chini ya ufadhili wa Swedish Internatinol Agency (SIDA) wamezindua Mkoani hapa kampeni ya''THAMINI UHAI OKOA MAMA MJAMZITO NA MTOTO''
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya alisema kuwa lengo la kampeni hiyo kuongeza na huduma kwa akina mama wajawazito waweze kujifungulia katika vituo vya huduma ya afya.
''Hawa...

 

10 years ago

GPL

WORLD LUNG FOUNDATION NA SERIKALI YA MKOA WA KIGOMA WAZINDUA KAMPENI YA THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO NA MTOTO

Wahudumu wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma maweni pamoja na wananchi wakitembea kwa maandamano kuelekea katika viwanja vya Sekondari ya Mwananchi Mkoani Kigoma kwaajili ya uzinduzi wa kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akizindua kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA MAMA MJAMZITO''katika viwanja vya… ...

 

11 years ago

GPL

JOHARI

Stori: Shakoor Jongo WASANII wa filamu Bongo, waliokuwa katika kamati maalum iliyoundwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ya kukabidhiwa ukamanda wa vijana, juzi walimcheka mwenzao, Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kunyang’anywa bwana. Msanii mkongwe wa filamu Bongo Blandina Chagula ‘Johari’ Tukio hilo lilitokea juzi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani