JOHARI
![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPuf94ivEr9RAuSPvkAlJW2Orl8cWMsWjzLwZBTQJaDg7yOJ2fgnm20LSLily5nnhe0br8sC7DH2Zf5ilgkeFQJ1/johari.jpg)
Stori: Shakoor Jongo WASANII wa filamu Bongo, waliokuwa katika kamati maalum iliyoundwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ya kukabidhiwa ukamanda wa vijana, juzi walimcheka mwenzao, Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kunyang’anywa bwana. Msanii mkongwe wa filamu Bongo Blandina Chagula ‘Johari’ Tukio hilo lilitokea juzi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XK5BrsN2RVe8*mFnsWvgyg0qNREEuxX6btZadJZsGERD2tYHPUZg-rgvYxjMnfvLefN3kGGOphhHUm4UI3diFbiGJ*XHvCDb/JOHARI2.jpg?width=650)
MASKINI JOHARI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4PDQROdK4cyk99YzQrVvbPirw6CO4W1CkTI6x-4ZYZLZA3P13K6trKCgzbyJf9ylsl6mGaQJedVKViUo74o5EC/ray.jpg)
RAY, JOHARI WACHENGANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMuxieu6zfhwzjt7ihuAsA676VyXbSsh*OqlhNywW0*jjynK0WHn5qklFW-wrSakhr3IWng262F1lK7xhRVEowQT/mahaba.jpg?width=650)
JOHARI: SIJAFULIA KISANAA
10 years ago
Bongo Movies13 Jun
Ndoa ya Johari Bado!
MSANII mahiri katika filamu nchini, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kamwe hatarajii kuolewa na mtu maarufu, kwani ni pasua kichwa na kwake anataka mume asiye na jina kubwa.
Johari amefunguka kwa kusema, wanaume maarufu ni wasumbufu na ana uhakika mkubwa hawawezi kudumu katika ndoa kwani wana mambo mengi hivyo anaitaji mwanaume wa kawaida.
“Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe maarufu, nataka mtu wa kunijali na kunithamini na kingine awe mchapakazi kwa sababu mimi mwenyewe mtafutaji,”...
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Johari Amkana Ray!
Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.
Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.
Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqrbD7gDOpBl8qJDbmDCUQp5*nSaPWizEUL9DFN-WbKcC5zIl9HiR5yNij6txG3D9ZAAlwj7Wzm5t*uQDBeFFQkh/johali2.jpg?width=612)
HATIMAYE JOHARI KUOLEWA!
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.
Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).
‘’Ninachojua mimi Ray...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg38nFZeW6pst7hKQLVeo5JYltbWub3Q2uQU4DL8Et6ImAqM7ghUsTgzk-0SIljNr7Km4wu1Tb8DrSep9S66ohyX/johari.jpg)
MFUNGO WAMBADILI JOHARI MAVAZI