MASKINI JOHARI!
![](http://api.ning.com:80/files/XK5BrsN2RVe8*mFnsWvgyg0qNREEuxX6btZadJZsGERD2tYHPUZg-rgvYxjMnfvLefN3kGGOphhHUm4UI3diFbiGJ*XHvCDb/JOHARI2.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya MASKINI! Ndiyo neno linaloweza kumtoka mtu yeyote mwenye mapenzi mema na staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye kwa sasa afya yake si ya kuridhisha, Ijumaa lina kila kitu. Johari ni mgonjwa kwa zaidi ya siku tano sasa akiwa mtu wa kwenda hospitali mara kwa mara kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Blandina Chagula ‘Johari’. TAARIFA ZA...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPuf94ivEr9RAuSPvkAlJW2Orl8cWMsWjzLwZBTQJaDg7yOJ2fgnm20LSLily5nnhe0br8sC7DH2Zf5ilgkeFQJ1/johari.jpg)
JOHARI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCk5C-mgy0yVDfeVWG3mDyX01eRkj5n576CX*DaazJWwOvs*pW9Q29g2WAyJjZ*UkJVzpJy-*TfG3I5xWMVgTgPq/FRONTAMANI.jpg?width=650)
MASKINI MBASHA!
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Maskini Tanzanite
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMuxieu6zfhwzjt7ihuAsA676VyXbSsh*OqlhNywW0*jjynK0WHn5qklFW-wrSakhr3IWng262F1lK7xhRVEowQT/mahaba.jpg?width=650)
JOHARI: SIJAFULIA KISANAA
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Johari Amkana Ray!
Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.
Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.
Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...
10 years ago
Bongo Movies13 Jun
Ndoa ya Johari Bado!
MSANII mahiri katika filamu nchini, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kamwe hatarajii kuolewa na mtu maarufu, kwani ni pasua kichwa na kwake anataka mume asiye na jina kubwa.
Johari amefunguka kwa kusema, wanaume maarufu ni wasumbufu na ana uhakika mkubwa hawawezi kudumu katika ndoa kwani wana mambo mengi hivyo anaitaji mwanaume wa kawaida.
“Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe maarufu, nataka mtu wa kunijali na kunithamini na kingine awe mchapakazi kwa sababu mimi mwenyewe mtafutaji,”...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqrbD7gDOpBl8qJDbmDCUQp5*nSaPWizEUL9DFN-WbKcC5zIl9HiR5yNij6txG3D9ZAAlwj7Wzm5t*uQDBeFFQkh/johali2.jpg?width=612)
HATIMAYE JOHARI KUOLEWA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4PDQROdK4cyk99YzQrVvbPirw6CO4W1CkTI6x-4ZYZLZA3P13K6trKCgzbyJf9ylsl6mGaQJedVKViUo74o5EC/ray.jpg)
RAY, JOHARI WACHENGANA