RAY, JOHARI WACHENGANA

Stori: Shakoor Jongo Ishu! Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ Productions, waliowahi kudaiwa kutoka kimalovee, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ wametoa kali ya katika Makaburi ya Kinondoni, Dar, wakati wa mazishi ya mwigizaji mwenzao, Sheila Haule ‘Recho’ baada ya kuombwa kwa pamoja wainuke kuweka shada kaburini lakini wao wakachengana. Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Johari Amkana Ray!
Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.
Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.
Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...
11 years ago
GPL
MAMA JOHARI AMFUMUA RAY
11 years ago
GPL
JOHARI: NIKO RJ SIKO NA RAY
10 years ago
GPL
JOHARI AMPATA MRITHI WA RAY
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.
Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).
‘’Ninachojua mimi Ray...
11 years ago
GPL
MASHABIKI WALILIA PENZI LA RAY, JOHARI
10 years ago
GPL
JOHARI: RAY NI KILA KITU KWANGU!
11 years ago
GPL
JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU!