Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOHARI: NIKO RJ SIKO NA RAY

Stori: Shakoor Jongo MUIGIZAJI wa ‘long time’ katika tasnia ya filamu Bongo, Brandina Chagula ‘Johari’ juzi kati amefunguka kuwa kwa sasa hayuko na aliyekuwa akidaiwa kuwa ni mpenzi wake, Vicent Kigosi ‘Ray’ ila yuko katika Kampuni ya RJ ambayo wanashirikiana kisanii zaidi. Muigizaji wa Tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ Akizungumza na Ijumaa katika hoteli ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Johari Amkana Ray!

Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza  wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.

Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.

Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...

 

11 years ago

GPL

RAY, JOHARI WACHENGANA

Stori:  Shakoor Jongo Ishu! Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ Productions, waliowahi kudaiwa kutoka kimalovee, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ wametoa kali ya katika Makaburi ya Kinondoni, Dar, wakati wa mazishi ya mwigizaji mwenzao, Sheila Haule ‘Recho’ baada ya kuombwa kwa pamoja wainuke kuweka shada kaburini lakini wao wakachengana. Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ...

 

10 years ago

CloudsFM

Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi

Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.

Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).‘’Ninachojua mimi Ray...

 

11 years ago

GPL

MAMA JOHARI AMFUMUA RAY

Stori: Mayasa mariwata,Shani ramadhani. Makubwa! Kwa mara kwanza mama mzazi wa mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini ameibuka na kumfumua staa wa filamu ‘mbia’ wa mwanaye, Vincent Kigosi ‘Ray’, Risasi Jumamosi lina cha kushika. Mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na mapaparazi wetu katika...

 

10 years ago

GPL

JOHARI AMPATA MRITHI WA RAY

Brighton masalu MAUMIVU niache! Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’, hatimaye ameondokana na maumivu ya kimapenzi kutoka kwa aliyekuwa mwandani wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kumpata mwanaume anayeamini ndiye mumewe mtarajiwa, Risasi Jumamosi linakujuza. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1LJkHbv

 

10 years ago

GPL

JOHARI: RAY NI KILA KITU KWANGU!

Brighton masalu
PATAMU hapo! Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ ndiye kila kitu maishani mwake kutokana na msaada aliompa wa kumtoa kisanii na kumsapoti kwa mambo mengi kikazi. Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. ‘Akianika mwanya’ katika mazungumzo na Amani juzikati, Johari alisema haoni sababu ya kuficha...

 

11 years ago

GPL

MASHABIKI WALILIA PENZI LA RAY, JOHARI

Stori: Musa Mateja MASHABIKI wa sinema za Kibongo wamefunguka kuwa wanapenda uhusiano waliouita wa kimapenzi kati ya Wakurugenzi wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’. Mwigizaji mkongwe wa tasnia ya filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ Ishu hiyo ilijidhihirisha wazi juzikati mjini Dodoma wakati mastaa mbalimbali walipokuwa wamekwenda kuzindua video ya wimbo wa...

 

10 years ago

GPL

JOHARI AZIDI KUTESEKA PENZI LA RAY!

Na Rhoda Josiah
MKONGWE katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuendelea kuteseka na penzi la mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kunaswa akimzungumzia. Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Tukio hilo lilijiri juzikati katika Viwanja vya Leaders Club kwenye uzinduzi wa filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni ambapo Johari alikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani