JOHARI AZIDI KUTESEKA PENZI LA RAY!
![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWz67Vv4KKzcG81qjx3EXTI5V2XcjXqGwhsDxNgwInTEV3WN*LzF9Mwr8l53vrQMuQ18HF5hg*Pjwug5ONZxrmg0/Ray.jpg?width=650)
Na Rhoda Josiah MKONGWE katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuendelea kuteseka na penzi la mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kunaswa akimzungumzia. Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Tukio hilo lilijiri juzikati katika Viwanja vya Leaders Club kwenye uzinduzi wa filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni ambapo Johari alikuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNSn77yqW8c-QE1WGRKmzBh*KSe0g3K5S7uuvabMCnH12Fry4ztxDqZu7*Q54I8Q-vCbRLwYZjCkDp7HOYJGFG*P/johari.jpg)
MASHABIKI WALILIA PENZI LA RAY, JOHARI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGTXDEHRlqt*i5gz2sd8D0J-*qJL3JWRa1ixPlNiSzUwfi5P5GP38v7OWNrOcmftue1xOq6kq6pX9xfzZKt*PBsx/chuchu.jpg?width=650)
PENZI LA RAY, CHUCHU CHALI JOHARI MENO 32 NJE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NHPaItPS5EjFvi89hhRwJtALsmTadBkq*FqVD*sJ7*g7v1gHqbErTmT*fFFShiSW-55aeNuYXE2khhTzBqYlUxV-LN*xO2Z-/mahaba.jpg?width=650)
UKILAZIMISHA SANA PENZI JIANDAE KUTESEKA!
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Johari Amkana Ray!
Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.
Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.
Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4PDQROdK4cyk99YzQrVvbPirw6CO4W1CkTI6x-4ZYZLZA3P13K6trKCgzbyJf9ylsl6mGaQJedVKViUo74o5EC/ray.jpg)
RAY, JOHARI WACHENGANA
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.
Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).
‘’Ninachojua mimi Ray...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRATs4HKVwmonEt-8yOP7t9F-P79UVYgVrsBBBIkd6mB8ZaeWcG-Y-Gh-PTEbUwzfxH1XmzVk3HLcCyLN-QqqRVKb/johari.jpg?width=650)
JOHARI: NIKO RJ SIKO NA RAY
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t-*S-Smp104FYy8GRW48bK8OCSopN97MAP-12aKFzWWLu1DSz2-VZsl3TlxZ6pp3w0r*3bAqrEYuooxqPPqQqMb/johari.jpg?width=650)
MAMA JOHARI AMFUMUA RAY
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mxcWg0hyTenRbxPWpTf4A26W2yS1MJzv3HdxF43OUBuLSMK5OVnr2r0SiHSCs8xzB1H09flR3s6De6vWhQ20yNp/Johari.gif?width=650)
JOHARI AMPATA MRITHI WA RAY