UKILAZIMISHA SANA PENZI JIANDAE KUTESEKA!
![](http://api.ning.com:80/files/NHPaItPS5EjFvi89hhRwJtALsmTadBkq*FqVD*sJ7*g7v1gHqbErTmT*fFFShiSW-55aeNuYXE2khhTzBqYlUxV-LN*xO2Z-/mahaba.jpg?width=650)
NiJumamosi nyingine tunakutana katika uwanja wetu wa Love Story. Kama kawaida waungwana tunakutana hapa kupeana mawili matatu yahusuyo maisha ya uhusiano. Baada ya kupata darasa la kumpa moyo wako wote halafu ukaambulia maumivu tulilojadili wiki iliyopita, wiki hii tunakuja na mada nyingine nzuri kama inavyojieleza hapo juu. Kwenye ulimwengu huu wa wapendanao, licha ya kuwepo kwa wale ‘wanaoinjoi’ mapenzi lakini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWz67Vv4KKzcG81qjx3EXTI5V2XcjXqGwhsDxNgwInTEV3WN*LzF9Mwr8l53vrQMuQ18HF5hg*Pjwug5ONZxrmg0/Ray.jpg?width=650)
JOHARI AZIDI KUTESEKA PENZI LA RAY!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyXvtgMf7OBPKg1f4tqwShstSnU0MIxpV0W5gVFjmxWrxd9N*bEuK7uqLBTLyNuMe3dkjWo65Tk0jKrUlSZ6-UYQ/MAMAWEMA.jpg)
PENZI KWA FLORA, NAMSHANGAA SANA MBASHA!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiHy*FejEQOHiALg1hLn9e6csUZDOlh0EyTwU8EjQitxtQ8U9FN4fJpSfUxw1oCWSZjUwx1OFR*gkZgCo*NFctfS/blackmaneatingfruit.jpg?width=650)
NI VIDOGO SANA LAKINI VINAWEZA KULINOGESHA PENZI LENU
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Kagera Sugar kuteseka Bara
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-HIKmUCklk6o/Xr_QSfRgjPI/AAAAAAABMG8/dod9Nc2LdG0wDDKb8ZyTCMyH5XAmU5YiwCLcBGAsYHQ/s72-c/95592766_1412722222246096_946711719474888704_n.jpg)
*UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...
![](https://1.bp.blogspot.com/-HIKmUCklk6o/Xr_QSfRgjPI/AAAAAAABMG8/dod9Nc2LdG0wDDKb8ZyTCMyH5XAmU5YiwCLcBGAsYHQ/s400/95592766_1412722222246096_946711719474888704_n.jpg)
9 years ago
Dewji Blog29 Aug
Ukiwa na haraka Mbweni JKT jiandae kupiga mbizi
UPIGE mbizi. Ndivyo unavyoweza kusema msemo huu kama unahitaji kupita haraka haraka katika eneo la Mbweni JKT, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, mahala panapojengwa daraja la kuvukia watu kwa miaka mitatu sasa, halina dalili za kukamilika hivi karibuni.
Ni eneo tata. Ni eneo linalokera na kusumbua watu mno. Mbaya zaidi, ni eneo lililozunguukwa na majumba ya watu wenye ukwasi au ukubwa wa majina ya viongozi waliojenga katika eneo hilo. Eneo linalojengwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/AdRS0-s5HGM/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.
“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.
Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...